Diddy akingia kifua Yung Miami baada ya kuitwa mchepuko wake
Baada ya Rapa Diddy kutangaza kuwa amepata mtoto wa kike, DJ Akademiks ameanzisha mjadala kupitia mtandao wa Twitter kuhusu uhusiano uliopo kati ya rapa huyo na mpenzi wake Yung Miami akidai kuwa Miami ni mpango wa kando wa Diddy baada ya kugundua sio mama wa mtoto huyo. Suala hilo halikumpendeza hata kidogo Diddy ambaye pia […]
Read More