MWANAMUZIKI MAARUFU NCHINI RWANDA YVAN BURAVAN AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki maarufu wa nchini Rwanda Yvan Buravan amefariki dunia, menejimenti yake imetangaza Kifo chake leo Jumatano August 17 kwamba amefariki kwa ugonjwa wa Saratani ya Kongosho akiwa nchini India alipokuwa akipokea matibabu tangu mwanzoni mwa mwezi huu. Buravan ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 27, alianza Muziki mwaka 2009 lakini Afrika Mashariki ilianza kumuona […]
Read More