YY Amtema Mpenzi Baada ya Kukosa Kutandika Kitanda

YY Amtema Mpenzi Baada ya Kukosa Kutandika Kitanda

Mchekeshaji maarufu wa Kenya, YY Comedian, amefichua kisa cha kushangaza kuhusu maisha yake ya mapenzi ya zamani. Akizungumza katika kipindi cha Feast with Friends kinachoendeshwa na Shiksha Arora, YY alieleza kuwa aliwahi kumtema mwanamke mara baada ya mkutano wao wa kwanza kwa sababu alishindwa kutandika kitanda. Kwa mujibu wa msanii huyo, tukio hilo lilimfanya atathmini […]

Read More
 Mashabiki Wamtaja Rigathi kwenye Kauli ya YY Comedian Kuhusu Kipigo cha Harambee Stars

Mashabiki Wamtaja Rigathi kwenye Kauli ya YY Comedian Kuhusu Kipigo cha Harambee Stars

Mchekeshaji YY Comedian ameonyesha masikitiko yake kufuatia timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, kuondolewa na Madagascar katika robo fainali ya michuano ya CHAN 2024. YY, kupitia ukurasa wake wa Instagram, amedai huenda kulikuwa na bahati mbaya iliyosafirishwa kutoka nje ya nchi na mtu fulani, akitilia shaka matokeo hayo kwa kuzingatia rekodi nzuri ya Kenya […]

Read More