Babu Tale aburuzwa mahakamani kwa kushinda kulipa fidia ya Ksh millioni 13
Meneja wa Msanii Diamond Platnumz, Babu Tale ambaye pia mmoja wa wakurugenzi wa kampuni inayojihusisha na shughuli za burudani, Tip Top Connections Company Limited yuko hatarini kufungwa jela kutokana na kushindwa kumlipa mhadhiri wa dini ya Kiislam, Sheikh Hashim Mbonde, fidia ya KSh milioni 13. Tayari Sheikh Mbonde ameshafungua maombi Mahakama Kuu akiiomba mahakama hiyo iamuru BabuTale akamatwe na […]
Read More