Mchekeshaji Maarufu TikTok Mr. KK Mwenyewe Afariki Dunia
Mchekeshaji maarufu wa TikTok, Zakaria Kariuki, anayefahamika kwa jina la kisanii kama Mr. KK Mwenyewe, amefariki dunia akiwa anapokea matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kiambu (Kiambu Level 5 Hospital). Taarifa za kifo chake zimetangazwa na rafiki yake wa karibu na mchekeshaji mwenzake, Kafengo, ambaye alielezea masikitiko yake kwa kumpoteza msanii aliyekuwa akileta furaha kwa […]
Read More