Zari Hassan Atangaza Kuachana na Shakib Cham Baada ya Miaka 5

Zari Hassan Atangaza Kuachana na Shakib Cham Baada ya Miaka 5

Mfanyabiashara na staa wa mitandao ya kijamii, Zari Hassan, ametangaza rasmi kuachana na mume wake baada ya kuwa pamoja kwa takriban miaka mitano. Kupitia taarifa aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii, Zari amesema kuwa wamefikia uamuzi wa kutengana kutokana na tofauti ambazo hawawezi kuzitatua, maarufu kama irreconcilable differences. Zari amesema kuwa licha ya kuachana, hakuna chuki […]

Read More
 Zari Hassan Atishia Kuwaanika Wanawake Wanaomtaka Mtoto Wake wa Kiume Kimapenzi

Zari Hassan Atishia Kuwaanika Wanawake Wanaomtaka Mtoto Wake wa Kiume Kimapenzi

Socialite maarufu mwenye asili ya Uganda, Zari Hassan, ameonyesha kuchoshwa na wanawake wanaoendelea kumuandikia mwanawe wa kiume jumbe za mahaba wakionyesha nia ya kumtaka kimapenzi. Kupitia kauli yake mitandaoni, Zari amesema amekuwa akipokea DM nyingi kutoka kwa wanawake wanaojitokeza waziwazi kumtongoza mtoto wake, hali anayosema imevuka mipaka na kumkera. Mwanamama huyo, ameweka wazi kuwa mwanawe […]

Read More
 Zari Hassan Afichua Anavyosumbuliwa na Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi Mtandaoni

Zari Hassan Afichua Anavyosumbuliwa na Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi Mtandaoni

Mjasiriamali na socialite Zari Hassan amefichua kuwa kisanduku chake cha ujumbe mtandaoni kimefurika na jumbe kutoka kwa wanaume wanaomfuata kwa nia ya kimapenzi. Kupitia mitandao yake ya kijamii, mama huyo wa watoto watano ameonyesha kuchoshwa na wingi wa wanaume wanaomwandikia kwa sababu zisizo sahihi, akisema wengi wao hawana nia ya dhati bali wanatafuta njia ya […]

Read More
 Zari Amshauri Mumewe Shakib Aachane na Masumbwi Baada ya Kipigo

Zari Amshauri Mumewe Shakib Aachane na Masumbwi Baada ya Kipigo

Socialite maarufu wa Uganda, Zari Hassan, ameripotiwa kumshauri mumewe Shakib Cham kuachana na mchezo wa masumbwi na kuelekeza nguvu zake katika shughuli nyingine za kibinafsi zinazoweza kumuingizia kipato. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na wawili hao, Zari amekuwa mstari wa mbele kushauri mumewe kutokana na hali iliyoonekana baada ya pambano la hivi karibuni lililomshirikisha […]

Read More
 Zari Hassan Aangua Kilio Baada ya Shakib Kupigwa Knockout na Rickman

Zari Hassan Aangua Kilio Baada ya Shakib Kupigwa Knockout na Rickman

Mfanyibiashara na sosholaiti maarufu, Zari Hassan, alijikuta akibubujikwa na machozi baada ya mumewe, Shakib Cham, kupigwa knockout vibaya na msanii Rickman Manrick katika pambano la masupastaa lililoshuhudiwa usiku wa Jumamosi, 30 Agosti 2025, ndani ya MTN Arena, Lugogo. Pambano hilo lililokuwa limevuta maelfu ya mashabiki lilimalizika mapema katika raundi ya pili, baada ya Rickman kumshushia […]

Read More
 Zari Hassan akatisha mkataba na hoteli moja nchini Uganda kwa kuvujisha picha zake za faraghani

Zari Hassan akatisha mkataba na hoteli moja nchini Uganda kwa kuvujisha picha zake za faraghani

Soshalaiti’ na mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Zari Hassan amekatisha mkataba wake na hoteli moja ya kifahari nchini Uganda ambapo alikuwa mapumzikoni na mpenzi wake Shakib Cham. Zari ametangaza kuvunja mkataba wake na Divine Resort & Spa baada ya mpiga picha mmoja wa hoteli hiyo kukiuka kifungu cha mkataba wao kilichosema kwamba picha na video zote […]

Read More