ZARI THE BOSS LADY AMPA SOMO RAPPER WA KENYA JAPESA KWA KUTUMIA JINA LAKE VIBAYA
Mrembo Zari The Bosslady amemshtumu Rapa wa Kenya Philip Okoyo almaarufu Japesa kwa kutumia jina lake kutafuta kiki huku akimuonya dhidi ya tabia hiyo. Zari amesema kuwa madai ya hivi majuzi ya Rapa huyo kuwa wao ni marafiki wakubwa na huwa wanazungumza mara kwa mara ni ya uongo na hayana msingi wowote. “Japesa sijawahi kuzungumza […]
Read More