Zari anyosha maelezo ishu ya kushindana na Zuchu kumteka kimapenzi Diamond Platnumz.
Mrembo maarufu wa Uganda, Zari The Bosslady ameonyesha kuchukizwa na habari za uongo kuhusu kile kinachodaiwa yupo katika mashindano na Zuchu ili kuunasa moyo wa Diamond Platnumz. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Zari amesema “Halafu wajinga wote hapa wanaamini maoni hayo yaliyoambatanishwa na picha yangu? Nimekuwa nikiwaonya kuwa siku moja nitawashtaki kiwango cha nyinyi kuuza […]
Read More