DIAMOND NA ZARI KUONEKANA NETFLIX MWEZI MACHI MWAKA 2022
Msanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz na baby mama wake, Zari The Bosslady ni miongoni mwa Mastaa wa Afrika watakaonekana katika mtandao wa Netfflix Machi 18, mwaka wa 2022. Netflix tawi la Afrika Kusini limetangaza Mastaa hao wataonekana katika documentary waliyoipa jina la Young, Famous & African. Ikumbukwe Diamond atakuwa Mtanzania mwingine kuonekana Netflix baada ya […]
Read More