Ziza Bafana Akanusha Tuhuma za Kufukuzwa Amsterdam
Msanii wa dancehall kutoka Uganda, Ziza Bafana, amenyoosha maelezo kuhusu madai yaliyosambaa mtandaoni kwamba alifukuzwa nchini Uholanzi siku chache zilizopita. Akizungumza na wanahabari, Bafana ameeleza kuwa alikuwa amepangiwa maonyesho mawili mjini Amsterdam na Ujerumani. Hata hivyo, alipowasili Amsterdam aliombwa kuonesha kibali cha kazi, ambacho kwa bahati mbaya hakuwa nacho, na hivyo akazuiliwa kuendelea na ratiba […]
Read More