Gravity Omutujju Atangaza Mapenzi Hadharani Kwa Mke wa Bebe Cool
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop nchini Uganda, Gravity Omutujju, amezua gumzo mitandaoni baada ya kukiri wazi kuwa ana hisia za kimapenzi kwa Zuena Kirema, mke wa mwanamuziki mashuhuri Bebe Cool. Katika mahojiano na TikToker mmoja maarufu, Gravity alifunguka kwa mara ya kwanza kuhusu hisia zake kwa Zuena, akieleza kuwa amekuwa na “crush” naye […]
Read More