ZZERO SUFURI AFUNGUKA UKIMYA WAKE, ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA
Msanii wa muziki wa gengetone Zzero Sufuri amefunguka sababu za ukimya wake kwenye muziki. Akizungumza na Mungai Eve, Zzero Sufuri amesema alichukua mapumziko mafupi kwa ajili ya kujipanga vizuri kimuziki baada ya kuachia nyimbo kali. Licha ya ukimya wake kwenye game ya muziki amesema amekuwa akifanyia kazi album yake mpya ambayo ingeingia sokoni mwezi juni mwaka huu ila kutokana […]
Read More