Tech news

TWITTER KUWEKA SEHEMU YA KU-RETWEET KWA KUTUMIA PICHA NA VIDEO

TWITTER KUWEKA SEHEMU YA KU-RETWEET KWA KUTUMIA PICHA NA VIDEO

App ya Twitter inaongeza sehemu mpya katika option za ku-retweet ambayo itaitwa “Quote Tweet with reaction”.

Sehemu hii itawezesha watumiaji kuonyesha reaction zao katika Tweet kwa kutumia video au picha. Mfano unaweza kuona tweet, ukaamua kupiga picha ya kureact (kujibu tweet au kuelezea tweet). Picha hiyo inaambatana na tweet ambayo “ume-retweet with reactions”. Ukipost zote zinakaa pamoja katika post moja – picha/video na tweet ambayo ume-retweet.

Kwa Twitter hii inaweza kutumika vibaya hasa katika meme au social trends kwa sababu watu wanaweza kufanya jokes katika tweets za watu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *