Tech news

Twitter rasmi yaondoa utambulisho wa vifaa vya simu kwa watumiaji wake

Twitter rasmi yaondoa utambulisho wa vifaa vya simu kwa watumiaji wake

Mtandao wa Twitter rasmi umeondoa utambulisho wa vifaa vya simu chini ya Tweet za watumiaji wake. Sasa hautaweza tena kuona (Tweet for iPhone au Tweet for Android) kwenye Tweets. Uamuzi huu umekuja mara baada ya mmiliki mpya Elon Musk kushika hatamu.

Mwezi November mwaka huu Elon Musk alitangaza kuwa atafanya mabadiliko hayo kutokana na kuwa utambulisho huo unafinya nafasi “Waste of screen space” na hakuna anayefahamu sababu ya kwanini utambulisho huo uliwekwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *