Entertainment

WIMBO WA C KAY “LOVE NWANTINTI” WAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

WIMBO WA C KAY  “LOVE NWANTINTI” WAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI

Wimbo wa mkali kutoka nchini Nigeria Ckay,  ‘Love Nwantiti’ umefikisha kiwango cha mauzo ya Platinum yaani imeuza nakala milioni 10 kwa nchini Marekani.

Huu unakuwa wimbo wa pili kutoka barani Afrika kufika Platinum nchini Marekani baada ya ‘ESSENCE’ ya Wizkid na Tems.

Wimbo huo ulitoka mwaka 2019 chini ya lebo ya Chocolate City, ulianza kufanya vizuri duniani mwaka jana kwa kukamata namba 1 kwenye mtandao maarufu wa kutafuta nyimbo duniani Shazam. Lakini pia unaendelea kusumbua kwenye chati mbali mbali za muziki barani Ulaya na Marekani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *