
Staa wa muziki nchini Nigeria Wizkid ametajwa kuingiza ($1 million) zaidi ya kSh. milioni 122 kwenye onesho lake lililofanyika katika ukumbi wa Madison Square Garden Jijini New York, November 16 mwaka huu. Hii inaingia kwenye rekodi ya kuwa onesho lake lililoingiza mkwanja mrefu zaidi kwa muda wote.
Onesho hilo ambalo ni sehemu ya ziara yake ya “More Love, Less Ego” liliuza Jumla ya Tiketi 12,901 sawa na asilimia 100.
Bei ya chini ya Tiketi ilikuwa ni ($77.72) sawa na kSh. 9,536 huku bei ya juu ikiwa ni ($997) takribani kSh. millioni122,331