Wizkid Aghairi Baadhi Matamasha Kufuatia Mauzo Duni ya Tiketi

Wizkid Aghairi Baadhi Matamasha Kufuatia Mauzo Duni ya Tiketi

Msanii nyota wa muziki wa Afrobeats, Ayodeji Balogun almaarufu kama Wizkid, ameripotiwa kughairi baadhi ya matamasha yake yaliyopangwa kufanyika katika kumbi mbalimbali barani Ulaya na Marekani, baada ya kukumbwa na changamoto ya mauzo duni ya tiketi. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na waandaaji wa ziara hiyo, baadhi ya miji haikufikia viwango vya mauzo yaliyotarajiwa, […]

Read More
 Wizkid atangaza kufanya tamasha kubwa la muziki, London Uingereza

Wizkid atangaza kufanya tamasha kubwa la muziki, London Uingereza

Msanii wa Nigeria Wizkid rasmi ametangaza onesho lake ambalo litafanyika katika uwanja wa Klabu ya Tottenham Hotspur, Jijini London Uingereza. Kwenye tangazo hilo ambalo limeiteka mitandao yote duniani kwa sasa, Mshereheshaji wa Klabu ya Tottenham, aliingia Twitter na kuweka video ikimuonesha aki-vibe na wimbo wa Wizkid ndani ya uwanja huo. Uwanja huo unabeba watu 62,850 […]

Read More
 Wizkid aomba radhi mashabiki kwa kususia show

Wizkid aomba radhi mashabiki kwa kususia show

Staa wa muziki nchini Nigeria Wizkid ameomba msamaha mashabiki zake wa Ghana kwa kushindwa kutokea kwenye show yake mjini Accra nchini Ghana siku ya Jumamosi licha kutua nchini humo. Kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii amesema kwamba kuna mambo hayakuwa sawa hasa upande wa kiufundi na usalama wake. Pia ameongeza kwamba, muda wowote atatangaza […]

Read More
 Wizkid awaponda wanamuziki wa Hiphop Afrika

Wizkid awaponda wanamuziki wa Hiphop Afrika

Hitmaker wa “Essence”, Msanii Wizkid ameviteka vichwa vya habari vya mitandao yote ya burudani, hii ni kufuatia kauli yake kwamba Muziki wa Hip Hop umekufa. Kwenye mahojiano na 10 Magazine, Wizkid amekaririwa akisifia ukuaji wa muziki wa Afrobeats Kimataifa huku akiuponda Muziki wa Rap. Mwanamuziki huyo kutoka Nigeria amesema mbali na Afrobeats, huwa hasikilizi aina […]

Read More
 Wizkid kuachia Album mpya mwakani

Wizkid kuachia Album mpya mwakani

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid anaendelea kutupasha kuhusu album yake mpya ijayo aliyoipa jina la “SeiLess”. Kupitia insta story yake ameeleza itaachiwa kati ya mwaka huu 2022 au mwanzoni mwa 2023. Ikumbukwe, “SeiLess” inaenda kuwa album ya SITA ya Wizkid baada ya “More Love, Less Ego” ambayo imetoka wiki mbili zilizopita ikiwa ni album […]

Read More
 Wizkid amu-unfollow Tems kwenye mtandao wa Instagram

Wizkid amu-unfollow Tems kwenye mtandao wa Instagram

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid amu-unfollow msanii mwenzake Tems kwenye mtandao wa Instagram. Wawili hao ambao wmefanikiwa kutengeneza Hit Song ya Dunia “Essence” wameonekana kuwa mbalimbali kwa muda jambo ambalo mashabiki walianza kujiuliza maswali juu ya mahusiano yao. Hatua hiyo ya Wizkid kumpunguza Tems kwenye orodha ya wafuasi wake kwenye mtandao wa instagram imekuja ikiwa […]

Read More
 Album mpya ya Wizkid kutoka Novemba 14 mwaka huu

Album mpya ya Wizkid kutoka Novemba 14 mwaka huu

Ni rasmi sasa, tarehe mpya ya kuachiwa kwa album ya Wizkid imetangazwa, mkali huyo ataachia album yake mpya “More Love Less Ego” Novemba 14. Album hiyo ya Wizkid ilikuwa imepangwa itoke Ijumaa ya wiki hii lakini kufuatia msiba wa mtoto wa kiume wa mwanamuziki mwenzake Davido, Ifeanyi Adeleke (3) ambaye amefariki mapema wiki hii, Wizkid […]

Read More
 BURNA BOY AWATOLEA UVIVU MASHABIKI WA WIZKID KISA KUPONDA MAFANIKIO YA ALBUM YAKE

BURNA BOY AWATOLEA UVIVU MASHABIKI WA WIZKID KISA KUPONDA MAFANIKIO YA ALBUM YAKE

Msanii kutoka Nigeria Burna Boy ameendelea kurushiana maneno na mashabiki wa Wizkid, kupitia mtandao wa Twitter ameshambuliana nao tena hadi kutishia kumpiga Wizkid. Burna Boy alijikuta akiingia kwenye vita hiyo ya maneno baada ya mashabiki wa Wizkid kumvamia kwenye tweet yake ambayo aliweka mafanikio ya Album zake. Baada ya mashabulizi ya maneno kutoka kwa Wizkid […]

Read More
 WIZKID AWEKA REKODI APPLE MUSIC

WIZKID AWEKA REKODI APPLE MUSIC

Mwanamuziki nyota kutoka Nigeria Wizkid ameendelea kuweka rekodi haswa upande wa namba kwenye digital platforms mbalimbali. Taarifa njema kwa mashabiki wa staa huyo ni kwamba ameweza kuwa mwanamuziki wa kwanza Africa kupata zaidi ya streams billion 1 katika mtandao wa Apple Music. Wizkid pia amefikisha watazamaji millioni 1.3 YouTube , streams millioni 1.16 katika mtandao […]

Read More
 WIZKID ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

WIZKID ATHIBITISHA KUKAMILIKA KWA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa muziki kutoka Nigeria Wizkid amethibitisha rasmi kukamilisha album yake mpya aliyoipa jina “More Love, Less Ego”. Kupitia Insta story yake  kwenye mtandao wa instagram wizkid amesema album hiyo  itatoka hivi karibuni. Hata hivyo Wizkid bado hajaweka wazi tarehe rasmi ya kuachia album hiyo mpya lakini ametoa shukrani kwa wote waliohusika katika uandaaji wake. […]

Read More