Entertainment

Ziza Bafana akanusha madai ya kujiunga na siasa

Ziza Bafana akanusha madai ya kujiunga na siasa

Staa wa muziki kutoka nchini Uganda Ziza Bafana amepuzilia mbali madai ya kuacha muziki na kugeukia siasa.

Kwenye mahojiano yake karibuni amekanusha kuwahi kuweka wazi na mpango wa kujiunga na siasa,ishara kwamba amejiondoa kwenye masuala mazima ya siasa nchini Uganda.

Mnamo Juni 2022, Bafana alifichua jinsi alivyokuwa akifikiria sana kujiunga na siasa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2026 ambapo alienda mbali zaidi na kudokeza mpango wa kuwania ubunge mwaka 2026 kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi wa Masaka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *