Entertainment

CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

CARDI B AJIWEKA PEMBENI NA MAMBO YA SIASA, ATAJA CHANZO

Rapa Cardi B alikuwa anapaza sauti yake kwenye mijadala mbali mbali ya siasa za nchini Marekani, lakini kuna muda alikuwa hasikiki tena na watu kuanza kujiuliza maswali.

Akijibu swali hilo ambalo aliulizwa na shabiki mmoja kupitia ukurasa wake wa Twitter, Cardi B amesema aliamua kukaa kimya kutokana na kunyanyaswa na kambi ya chama cha Republican ambacho kilikuwa kinaongozwa na Rais Donald Trump.

Lakini pia, alikuwa akipokea ukosoaji mkubwa kutoka kwa watu ambao alikuwa akiwapigania kwenye siasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *