Cardi B Atinga Mitaani New York Kutangaza Albamu Yake Mpya

Cardi B Atinga Mitaani New York Kutangaza Albamu Yake Mpya

Msanii wa muziki wa hip-hop nchini Marekani, Cardi B, amewashangaza mashabiki na wachambuzi wa muziki baada ya kuonekana akizunguka mtaani ya New York akitangaza kwa mikono yake mwenyewe albamu yake mpya “Am I The Drama.” Tukio hilo lililoshuhudiwa na wapita njia na mashabiki wake limeibua mitazamo tofauti. Wapo wanaoona hatua hiyo kama mkakati wa kibunifu […]

Read More
 Cardi B Aondolewa Mashtaka ya Shambulio na Ubaguzi

Cardi B Aondolewa Mashtaka ya Shambulio na Ubaguzi

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B, amekutwa hana hatia katika kesi ya madai yaliyofunguliwa na mlinzi wake wa zamani wa usalama, Emani Ellis. Ellis alikuwa amemshataki Cardi B kwa madai ya kumshambulia kwenye ofisi ya daktari wa wanawake huko Beverly Hills mwaka 2018. Mlinzi huyo alidai Cardi alimshambulia, kumtemea mate, na kumtolea maneno ya ubaguzi […]

Read More
 Cardi B Amwaga Hasira kwa Paparazzi Mbele ya Kamera

Cardi B Amwaga Hasira kwa Paparazzi Mbele ya Kamera

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B, amekumbana na hali ya kutoelewana na paparazzi jana, akiwa nje ya Mahakama ya Alhambra, California. Paparazzi huyo aliuliza swali lisilo na adabu linalohusiana na uhusiano wake na mchezaji wa NFL, Stefon Diggs, mpenzi wake wa sasa, na pia aliyekuwa mume wake, Offset, ambaye hivi karibuni alionekana kujigamba kuhusu ujauzito […]

Read More
 Cardi B Kortini! Akanusha Kumshambulia Mlinzi Akiwa Mjamzito

Cardi B Kortini! Akanusha Kumshambulia Mlinzi Akiwa Mjamzito

Rapa wa Marekani, Cardi B, amekanusha vikali madai kwamba alimshambulia mlinzi wa usalama mwaka 2018 wakati akiwa mjamzito. Akiwasili mahakamani mjini Alhambra, California siku ya pili ya kusikilizwa kwa kesi hiyo, jana, Cardi amesema hakuwahi kumgusa mlalamikaji Emani Ellis na kudai madai hayo hayana ukweli wowote. Msanii huyo amesisitiza kwamba Ellis ndiye aliyekuwa akimfuata na […]

Read More
 Wakili wa Cardi B Ajibu Kesi ya Kipaza Sauti

Wakili wa Cardi B Ajibu Kesi ya Kipaza Sauti

Wakili wa rapa kutoka Marekani Cardi B, Drew Findling, ameibuka na kuikosoa vikali kesi mpya ya madai iliyofunguliwa dhidi ya mteja wake, akisema ni jaribio la kutaka kumpora pesa kwa kutumia jina lake maarufu. Kauli ya Findling imekuja kufuatia mwanamke mmoja, anayetambulika kama Jane Doe, kufungua kesi ya madai dhidi ya Cardi B kwa tuhuma […]

Read More
 Cardi B Aibua Sintofahamu Baada ya Kufuta Picha za Stefon Diggs

Cardi B Aibua Sintofahamu Baada ya Kufuta Picha za Stefon Diggs

Mashabiki wa rapa maarufu Cardi B wameibua hisia mseto mitandaoni baada ya kugundua kuwa msanii huyo amefuta picha zote za mpenzi wake mpya, Stefon Diggs, kutoka kwenye ukurasa wake wa Instagram. Hatua hiyo imezua tetesi kuwa huenda uhusiano wao umeingia matatizoni au hata kuvunjika kabisa. Wengi wa mashabiki walieleza mshangao na masikitiko, wakikumbuka jinsi penzi […]

Read More
 Cardi B Awashtua Mashabiki Kwa Tangazo La Albamu Mpya

Cardi B Awashtua Mashabiki Kwa Tangazo La Albamu Mpya

Rapa maarufu wa Marekani, Cardi B, ametangaza rasmi kuachia albamu yake mpya iitwayo “AM I THE DRAMA?”, itakayotolewa rasmi Septemba 19, 2025. Hii itakuwa albamu yake ya pili baada ya mafanikio makubwa ya albamu yake ya kwanza, “Invasion of Privacy”, iliyotolewa mwaka 2018, ambayo ilimpa tuzo ya Grammy kwa Best Rap Album na ikajizolea hits […]

Read More
 Cardi B afunguka kuhusu msimamo wa mpenzi wake Stefon Diggs licha ya misukosuko

Cardi B afunguka kuhusu msimamo wa mpenzi wake Stefon Diggs licha ya misukosuko

Rapa maarufu Cardi B amefichua kuwa mchezaji wa NFL, Stefon Diggs, alimshauri aache kushiriki mambo ya faragha hadharani. Katika mahojiano ya hivi karibuni, Cardi alisema kuwa Diggs alipendekeza awe na mipaka kwenye kile anachoweka mitandaoni au anachosema hadharani kuhusu maisha yao binafsi. Cardi B pia alieleza kuwa licha ya mahusiano yao, wawili hao huonana mara […]

Read More