
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Marioo amekanusha stori za kutaka kujiunga na Lebo ya WCB kama ilivyoelezwa na Mkurugenzi wa Lebo Hiyo na Staa wa Muziki Diamond Platnumz .
Kabla ya Show ya Cheers 2023 ya Diamomd kufanyika, Staa huyo alifanya Mahojiano na Kituo cha habar cha WasafiFm na kudai kwamba Marioo aliwahi kumfuata na kuomba kisainiwa kwenye lebo ya WCB kitu ambacho Diamond alikataa kutokana na ukubwa alionao kwa sasa.
Marioo Amekanusha stori hiyo kwa kumjibu shabiki ambaye alitaka kujua kama kuna ukweli wowote