Sports news

MCHEZO WA BAYERN MUNICH NA BARCELONA KUCHEZWA BILA MASHABIKI

MCHEZO WA BAYERN MUNICH NA BARCELONA KUCHEZWA BILA MASHABIKI

Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baina ya wenyeji Bayern Munich na Barcelona, Rais wa klabu ya Bayern Markus Soder amesema mchezo huo utachezwa bila mashabiki ikiwa ni sehemu ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Covid-19.

Bayern Munich watacheza na Barcelona Disemba 8, mwaka 2021 katika mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi, kipindi ambacho wenyeji Munich tayari imeshafuzu wakati Barcelona na Benfica bado mambo hayajakawa sawa.

Barcelona wanahitaji ushindi kwenye mtanange huo ili kufuzu hatua ya 16 bora.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *