Sports news

LIVERPOOL NA ARSENAL YATOKA SARE YA KUTOFUNGANA KWENYE MCHEZO WA CARABAO

LIVERPOOL NA ARSENAL YATOKA SARE YA KUTOFUNGANA KWENYE MCHEZO WA CARABAO

Liverpool imelazimishwa Suluhu tasa na Arsenal katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la Carabao uliopigwa katika dimba la Anfield Januari 13 mwaka 2022.

Arsenal walilazimika kucheza pungufu katika muda mwingi wa mchezo huo baada ya kiungo Granit Xhaka kuonesha kadi nyekundu mapema kipindi cha kwanza

Hata hivyo Liverpool wameshindwa kutumia Mwanya huo na kutoa sifa kwa mbinu za mwalimu Mikel Arteta.

Timu hizo zitarudiana juma lijalo katika dimba la Emirates kuamua Mshindi atakayetinga fainali ya michuano hiyo. Mshindi atakutana na Chelsea katika fainali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *