Liverpool Yaangukia Pua Baada ya Kulazwa na Brighton 2-1
Matumaini ya Liverpool kufuzu klabu bingwa Ulaya (Champions League) yamepata pigo kubwa baada ya kukubali kichapo cha 2-1 mikononi mwa Brighton & Hove Albion katika uwanja wa Amex. Mshambuliaji mkongwe Danny Welbeck alikuwa mwiba mchungu kwa safu ya ulinzi ya Liverpool, akifunga mabao yote mawili ya wenyeji. Welbeck alifungua ukurasa wa mabao katika dakika ya […]
Read More