Entertainment

Wizkid amu-unfollow Tems kwenye mtandao wa Instagram

Wizkid amu-unfollow Tems kwenye mtandao wa Instagram

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid amu-unfollow msanii mwenzake Tems kwenye mtandao wa Instagram.

Wawili hao ambao wmefanikiwa kutengeneza Hit Song ya Dunia “Essence” wameonekana kuwa mbalimbali kwa muda jambo ambalo mashabiki walianza kujiuliza maswali juu ya mahusiano yao.

Hatua hiyo ya Wizkid kumpunguza Tems kwenye orodha ya wafuasi wake kwenye mtandao wa instagram imekuja ikiwa ni wiki chache toka Wizkid aachie kolabo yake na Ayra Star “SUGAR”

Pamoja na Wikzid kumpunguza Tems lakini bado Tems ame mfollow Wizkid kwenye mtandao huo wa instagram

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *