Entertainment

AFRO EAST ALBUM YA HARMONIZE YAFIKISHA ZAIDI YA STREAMS MILLIONI 2.5 BOOMPLAY

AFRO EAST ALBUM YA HARMONIZE YAFIKISHA ZAIDI YA STREAMS MILLIONI 2.5 BOOMPLAY
Album ya Mwanamuziki harmonize iliyotika Machi 14 mwaka wa 2020 Afro East yenye nyimbo 17 imefanikiwa kufikisha jumla ya streams Million 2.5 katika mtandao wa boom play music.
 
Kwa upande wa Album, album yenye streams nyingi katika mtandao huo kwa wanamuziki wa tanzania ni album ya Mwanamuziki rayvanny
Sound From Africa ambayo ina jumla ya streams millioni 15.5 katika mtandao huo maarufu wa kusimamia na kuuza kazi za muziki.
 
Sound From Africa album ya mtu mzima Rayvanny iliingia sokoni Rasmi februari mosi mwaka huu ikiwa na jumla ya mikwaju 23 ya moto
 
 
 
 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *