Harmonize Ang’ara Jukwaani Kampala Katika Show ya Spice
Msanii wa Bongo Fleva kutoka Tanzania, Harmonize, ameendelea kupeperusha vyema bendera ya Afrika Mashariki baada ya kufanya show kali jijini Kampala, Uganda, aliposhiriki kwenye tamasha lililoandaliwa na malkia wa Dancehall kutoka Jamaica, Spice. Katika show hiyo iliyovutia mashabiki wengi wa muziki wa Dancehall, Harmonize alipanda jukwaani na kuonyesha umahiri wake wa kutumbuiza, akiwasha moto kwa […]
Read More