MADINI CLASSIC ATANGAZA KUHAMIA KWENYE MAPENZI YA JINSIA MOJA

MADINI CLASSIC ATANGAZA KUHAMIA KWENYE MAPENZI YA JINSIA MOJA

Mkali wa muziki nchini Madini Classic amewashangaza wadau wa muziki nchini baada ya kutangaza kwamba amekukumbatia mapenzi ya jinsia moja kwani amechoshwa na mapenzi kabisa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha akiwa amejipodoa wanja, na lipstick kama mwanamke na kusema kwamba ameamua kuhamia mapenzi ya jinsia moja kwani siyo dhambi. Hitmaker huyo wa Toto […]

Read More
 VIDEO ZA OTILE BROWN ZAONDOLEWA YOUTUBE

VIDEO ZA OTILE BROWN ZAONDOLEWA YOUTUBE

Music Video za Staa wa muziki nchini otile brown zimeondolewa kwenye akaunti ya mtandao wa YouTube ya msanii huyo   Ukitembelea kwenye akaunti ya YouTube ya Otile Brown hutafanikiwa kuziona video za nyimbo kama Dusuma, Such Kinda Love, Chaguo La Moyo Wangu na Aiyana kutokana na kuondolewa na aliyezi-upload   Mpaka sasa haijafahamika sababu za […]

Read More
 KANYE WEST MBIONI KUZINDUA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA VIFAA VYA KITEKNOLOJIA

KANYE WEST MBIONI KUZINDUA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA VIFAA VYA KITEKNOLOJIA

Baada ya kukuvalisha viatu na mavazi ya aina yake kupitia chapa ya Yeezy, Kanye West yupo tayari kukuletea vifaa vya kiteknolojia. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, Kanye ameripotiwa kulisajili kibiashara jina la ‘DONDA’ mnano Septemba 21 mwaka huu ambapo dhumuni ni kutengeneza vifaa kama Simu, (laptop), Tablets, Headphones na Bluetooth speakers. Akiwa muumini mkubwa […]

Read More
 GOOGLE YAWEKA UWEZO WA SIMU KUREKODI VIDEO WAKATI WA DHARURA.

GOOGLE YAWEKA UWEZO WA SIMU KUREKODI VIDEO WAKATI WA DHARURA.

Google imeweka uwezo wa simu kurekodi video katika wakati wa dharura kwenye Android 12. Imeweka uwezo wa kurekodi video automatic endapo mtu akibonyeza power button zaidi ya mara 5 au unapokwepo katika hali ya hatari.   Katika sehemu ya Emergency SOS, mtumiaji anaweza kuwasha option ya “Record emergency Video” ambapo endapo ukibonyeza Power Button mara […]

Read More
 FACEBOOK YAANZA KUWEKA REELS KATIKA APP YAKE

FACEBOOK YAANZA KUWEKA REELS KATIKA APP YAKE

Facebook iliweka videos fupi katika mtandao wa Instagram zilizopewa jina la Reels, mbinu ambayo inasemekana ni kushindana na soko la TikTok na YouTube Shorts kwa sababu imeonekana kuna watu wengi wanapendelea short videos.   Sasa habari njema ni kwamba Facebook imeanza kuweka rasmi Reels katika app yake ya Facebook kwa watumiaji wa Marekani na imesema […]

Read More
 MEEK MILL AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “EXPENSIVE PAIN”

MEEK MILL AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “EXPENSIVE PAIN”

Hatimaye Rapa kutoka nchini marekani meek mill Ameikata Kiu Ya Mashabaki Zake Baada Ya Kuiachia Album Yake Mpya inayokwenda kwa jina la EXPENSIVE PAIN Meek Mill Amethibitisha Hilo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram kwa kuandika ujumbe unaosomeka “My new album Expensive Pain out now ” akimaanisha kwamba album yake mpya sasa inapatikana kwenye digital platform […]

Read More
 ZULITUMS ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WA UGANDA KUTUMIA KIINGEREZA KWENYE NYIMBO ZAO

ZULITUMS ATOA CHANGAMOTO KWA WASANII WA UGANDA KUTUMIA KIINGEREZA KWENYE NYIMBO ZAO

Mwanamuziki kutoka nchini uganda Zulitums ametoa changamoto kwa wasanii nchini humo kuanza kutumia lugha ya kiingereza kwenye nyimbo zao ili muziki wa uganda uweze kufika mbali zaidi. Zulitums amesema licha ya wasanii wa uganda kutoa muziki mzuri wengi wao wamekuwa wakitumia lugha ya luganda kwenye nyimbo zao jambo analosema limewafanya wasanii kushindwa kutanua wigo wa […]

Read More
 RINGTONE APOTEZA MILLIONI 3 ZA KENYA BAADA YA WIMBO WA YESU ANG’ARE KUFUTWA YOUTUBE

RINGTONE APOTEZA MILLIONI 3 ZA KENYA BAADA YA WIMBO WA YESU ANG’ARE KUFUTWA YOUTUBE

Msanii wa nyimbo za injili nchini Ringtone ameumizwa na kitendo cha wimbo wake uitwao Yesu Ang’are aliyomshirikisha Rose Muhando kufutwa kwenye mtandao wa youtube kwa madai ya haki miliki.   Kupitia ukurasa wake wa instagram Ringtone amesema  anakadiria hasara ya shillingi millioni tatu alizotumia kutayarisha audio na video ya wimbo huo jambo ambalo amesema limempelekea […]

Read More