LINEX AMCHANA BABA LEVO KWA MADAI YA KUMZUNGUMZIA VIBAYA

LINEX AMCHANA BABA LEVO KWA MADAI YA KUMZUNGUMZIA VIBAYA

Mwanamuziki wa Bongofleva Linex mjeda ameamua kumtolea uvivu baba levo baada ya msanii huyo kuendelea kuongelea maisha yake mara kwa mara kwenye vyombo vya habari Kupitia ukurasa wake wa Instagram Linex amemchana Baba Levo kuwa aache kuongelea maisha yake kwenye redio kwani jambo hilo linamkosesha amani huku akimuomba baba levo msamaha kama amewahi kumkosoa. Linex […]

Read More
 VIDEO 4 ZA MUZIKI ZA NADIA MUKAMI ZAFUTWA YOUTUBE

VIDEO 4 ZA MUZIKI ZA NADIA MUKAMI ZAFUTWA YOUTUBE

Video za muziki za msanii nadia mukami zimefutwa kwenye akaunti ya mtandao wa youtube ya msanii huyo.   Ukitembelea kwenye akaunti ya youtube  ya nadia mukami  hautafanikiwa kuziona nyimbo zake kama maombi, Wangu, Radio Love na Kolo kutokana na kuondolewa na aliyezi-upload.   Sanjari na hilo nyimbo za Nviiri the story teller Pombe sigara na […]

Read More
 ALI KIBA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA THE ONLY ONE KING

ALI KIBA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA THE ONLY ONE KING

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba ameachia rasmi albam yake mpya inayokwenda kwa jina la The Only One King.   Album hiyo aliyowashirikisha wasanii tofauti ina jumla ya nyimbo kumi na sita za moto na inapatikana katika platform tofauti na muziki mitandaoni.   Baadhi ya wasanii walioshirikishwa na Alikiba kwenye albam hiyo ni Patoranking kutoka Nigeria, […]

Read More
 DADDY ANDREA NA ANGELLA KATATUMBA WAFUFUA TENA PENZI LAO

DADDY ANDREA NA ANGELLA KATATUMBA WAFUFUA TENA PENZI LAO

Wasanii Angella Katatumba na Daddy Andrea walivunja uhusiano wao mwaka wa 2020 baada andrea kudinda kufanya vipimo vya HIV.   Kwenye mahojiano mbali mbali Daddy Andrea alithibitisha kwamba hajawahi mpenda Angella Katatumba na jambo hilo lilimsumbua sana mrembo huyo.   Andrea alienda mbali zaidi na kuanza mahusiano mapya na Nina Roz ila mahusiano yao yalikuja […]

Read More
 INSTAGRAM YAONDOA IGTV

INSTAGRAM YAONDOA IGTV

Mtandao wa Instagram umetangaza kuunganisha IGTV (video ndefu) na video za Feeds (video za posts za kawaida) ambapo zote zitaitwa Instagram Video.   Instagram imeondoa jina la IGTV na video ndefu zitabaki kama kawaida lakini hazitaitwa IGTV. Video za feeds ambazo huwa na urefu wa sekunde 60, zote zitaitwa Instagram Video huku Reels zikibaki kuwa […]

Read More
 WHATSAPP MBIONI KUJA NA UWEZO WA KUENDELEA KUSIKILIZA VOICE MESSAGES HATA UKIWA UMEFUNGA CHATS

WHATSAPP MBIONI KUJA NA UWEZO WA KUENDELEA KUSIKILIZA VOICE MESSAGES HATA UKIWA UMEFUNGA CHATS

App ya WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka mfumo mpya wa “Voice Message au Notes”. Mfumo huo mpya utawezesha watumiaji kuendelea kusikiliza Voice Message hata ukiwa umefunga chat na kufungua chat nyingine au kurudi kwenye list ya messages.   Kwa kawaida ukiwa unasikiliza Voice Message katika WhatsApp, ukiifunga chat na Voice Message inaacha kucheza, hivyo inabidi […]

Read More
 B CLASSIC AACHIA KAZI YAKE YA MWISHO

B CLASSIC AACHIA KAZI YAKE YA MWISHO

Msanii wa muziki nchini Kenya, Dennis Manja maarufu kama B Classic ameachia wimbo wake wa mwisho baada ya kutangaza nia yake ya kutaka kuacha muziki.   B Classic alidai kuwa anaacha muziki na kugeukia kazi ya ufundi wa magari baada ya kutoridhishwa na mapokezi ya kazi zake pindi anapoachia muziki mpya.   B Classic mkali […]

Read More
 WIMBO WA C-KAY LOVE  NWANTITI WAONGOZA KWA STREAMS SPOTIFY

WIMBO WA C-KAY LOVE NWANTITI WAONGOZA KWA STREAMS SPOTIFY

Hitmaker wa ngoma ya Love Nwantiti C-kay ameendelea kufanya poa haswa upande wa streams katika mtandao mbalimbali ya kuuza na kusikiliza muziki duniani. Hii ni baada ya kufikisha zaidi ya wasikilizaji Million 17 ndani ya mwezi yaani monthly listeners katika mtandao wa Spotify. C-Kay anakuwa msanii wa kwanza kutoka barani Africa kufikisha jumla ya wasikilizaji […]

Read More