Diamond Platnumz Aipeperusha Afrika Mashariki kwenye Album ya AFCON 2025

Diamond Platnumz Aipeperusha Afrika Mashariki kwenye Album ya AFCON 2025

Nyota mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz, ameendelea kulipeperusha vyema bendera ya Afrika Mashariki baada ya kushiriki katika Album maalum ya mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON 2025 yanayoendelea nchini Morocco. Album hiyo yenye jumla ya nyimbo kumi na mbili imewakutanisha mastaa wakubwa wa muziki kutoka mataifa mbalimbali duniani. Miongoni mwao ni Ne-Yo, Davido, […]

Read More
 Yvonne Chaka Chaka Akanusha Taarifa Za Kuwahi Kuumia na Kushindwa Kutembea

Yvonne Chaka Chaka Akanusha Taarifa Za Kuwahi Kuumia na Kushindwa Kutembea

Mwanamuziki mkongwe kutoka Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka, ameibuka hadharani kupinga vikali taarifa za uongo zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa aliwahi kusaidiwa kutembea tena na daktari aitwaye Katlego Mothudi baada ya kuanguka na kuumia vibaya. Kupitia mitandao ya kijamii amechapisha makala yaliyokuwa ikizungumzia taarifa hiyo, ambapo amekanusha madai hayo akiyataja kuwa ya kupotosha na yasiyo na […]

Read More
 Mbosso Afikisha Views Bilioni 1 YouTube

Mbosso Afikisha Views Bilioni 1 YouTube

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mbosso, ameandika historia mpya katika safari yake ya muziki baada ya kufikisha jumla ya watazamaji (views) bilioni 1 kwenye mtandao wa YouTube kupitia nyimbo zake zote. Mbosso alijiunga rasmi na YouTube tarehe 2 Novemba mwaka 2017, na tangu wakati huo amekuwa akitoa kazi zilizopokelewa vyema na mashabiki wake ndani na nje […]

Read More
 Content Creator wa Kenya Apokea Kipigo Kikali, Apoteza Jino na Simu Kuvunjwa

Content Creator wa Kenya Apokea Kipigo Kikali, Apoteza Jino na Simu Kuvunjwa

Content creator mmoja wa Kenya anayefahamika kwa jina la Vindee, ameripotiwa kushushiwa kipigo kikali na wananchi baada ya kuwafanyia mzaha (prank) wakiwa katika shughuli zao za kila siku za kutafuta riziki. Kwa mujibu wa mashuhuda, content creator huyo alikuwa akirekodi maudhui ya mzaha bila ridhaa ya wahusika, jambo lililozua hasira miongoni mwa wananchi waliolengwa. Inadaiwa […]

Read More
 Chiefgod Love Atoa Onyo Kali kwa Wanaume Wazembe

Chiefgod Love Atoa Onyo Kali kwa Wanaume Wazembe

Mwanamitandao anayefahamika kwa jina la Chief Godlove amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kutoa kauli tata akiwalenga wanaume anaodai hawawajibiki kwa wake zao wala kutimiza mahitaji ya msingi ya kifamilia. Kupitia ujumbe alioutoa kwenye mitandao ya kijamii, Chiefgod Love amesema amechoshwa na wanaume anaowataja kuwa wazembe na wasiojua kuwajibika, akidai kuwa endapo wataendelea kupuuza majukumu […]

Read More
 Asake Atoa Tamko la Huzuni Kufuatia Kifo cha Sha Katika Tamasha la Nyayo Stadium

Asake Atoa Tamko la Huzuni Kufuatia Kifo cha Sha Katika Tamasha la Nyayo Stadium

Msanii wa Afrobeat kutoka Nigeria, Asake, ameeleza masikitiko yake makubwa kufuatia kifo cha Karen Lojore, mwenye umri wa miaka 20, aliyefariki dunia baada ya kukanyagwa wakati wa tamasha alilokuwa akiongoza jijini Nairobi, Kenya. Kupitia taarifa, Asake amesema tukio hilo limemuumiza sana na kuacha majonzi makubwa kwake binafsi pamoja na timu yake. Amesema moyo wake uko […]

Read More
 Hamisa Mobetto Afunguka Baada ya Tetesi za Ujauzito Kusambaa Mtandaoni

Hamisa Mobetto Afunguka Baada ya Tetesi za Ujauzito Kusambaa Mtandaoni

Mrembo na mfanyabiashara kutoka Tanzania, Hamisa Mobetto, amefunguka baada ya tetesi za ujauzito wake kusambaa kwa kasi mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Stories, Hamisa ameamua kuvunja ukimya na kuweka wazi msimamo wake kuhusu habari hizo ambazo zimezua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki na wadau wa mitandao ya kijamii. Hamisa amesema kuwa kama kweli kuna […]

Read More
 Huddah Monroe Atangaza 2025 Kuwa Mwisho wa Kuvumilia Waliomkosea

Huddah Monroe Atangaza 2025 Kuwa Mwisho wa Kuvumilia Waliomkosea

Socialite kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ametuma ujumbe mzito unaoashiria mabadiliko makubwa katika maisha yake binafsi, akisema kuwa mwaka 2025 ndio mwisho wa kuvumilia watu waliomkosea. Kupitia ukurasa wake wa Insta Story, Huddah ameweka wazi kuwa amechoka kutoa nafasi ya pili kwa watu wanaomuumiza au kuvunja imani yake. Ameeleza kuwa kuanzia mwaka 2026, hatakuwa tayari […]

Read More
 Eric Omondi Afunguka Kiasi Kikubwa cha Fedha Alichowahi Kupata Kupitia Wakfu wa Sisi kwa Sisi

Eric Omondi Afunguka Kiasi Kikubwa cha Fedha Alichowahi Kupata Kupitia Wakfu wa Sisi kwa Sisi

Mchekeshaji na mwanaharakati, Eric Omondi, amesema kiasi kikubwa zaidi kuwahi kukusanywa kupitia mpango wa Sisi Kwa Sisi ni shilingi milioni 15.7 za Kenya, zilizokusanywa ndani ya siku moja na nusu pekee. Akizungumza kwenye podcast ya Chris The Bass, Omondi amesema fedha hizo zilikusanywa hivi karibuni kwa ajili ya kumsaidia mwanamke mmoja kutoka Githurai, ambaye kupitia […]

Read More
 Jose Chameleone Adhimisha Mwaka Mmoja Tangu Kuugua Kwa Kushukuru Familia, Marafiki na Mashabiki

Jose Chameleone Adhimisha Mwaka Mmoja Tangu Kuugua Kwa Kushukuru Familia, Marafiki na Mashabiki

Msanii nguli wa muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone, ameadhimisha mwaka mmoja tangu alipougua na kulazwa kwa muda mrefu, tukio ambalo liliwagusa mashabiki na wadau wengi wa muziki Afrika Mashariki. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Chameleone amesema kuwa siku kama ya leo mwaka mmoja uliopita alikuwa amelazwa kitandani akipambania maisha yake. Ameeleza kuwa kipindi hicho kilikuwa […]

Read More