Msanii wa Uganda Alien Skin Ajibu Wakosoaji, Asema Hawezi Kuacha Muziki
Msanii mtukutu kutoka nchini Uganda, Alien Skin, ameweka wazi msimamo wake baada ya kukumbana na wimbi la wakosoaji wanaomtaka aachane na muziki. Akizungumza kupitia TikTok Live, bosi wa Fangone Forest amewajibu vikali wanaomkosoa, akisema hawezi kuacha muziki hadi pale atakapokuwa sawa kifedha. Alien Skin amesema kuwa sababu pekee itakayomfanya aachane na muziki ni pesa. Amewataka […]
Read More