YouTube Kusitisha Kushirikisha Takwimu za Muziki na Billboard Kuanzia Januari 2026

YouTube Kusitisha Kushirikisha Takwimu za Muziki na Billboard Kuanzia Januari 2026

YouTube imetangaza kusitisha rasmi kushirikisha takwimu zake za muziki na jarida maarufu la chati za muziki, Billboard. Hatua hii itasababisha Billboard kutozitumia tena data za YouTube katika kuandaa chati zake za muziki. Kwa mujibu wa YouTube, uamuzi huo umetokana na kutokubaliana kati ya pande hizo mbili kuhusu namna takwimu za streams zinavyotumika kupima umaarufu wa […]

Read More
 Nandy Atambulisha Biashara Mpya ya Real Estate

Nandy Atambulisha Biashara Mpya ya Real Estate

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy, ameendelea kupanua wigo wa uwekezaji wake baada ya kutambulisha rasmi biashara yake mpya ya real estate. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nandy amewashirikisha mashabiki video ikionyesha nyumba zake za kifahari alizozipa jina la Naya Homes, ambazo zipo katika hatua za mwanzo ya ujenzi. Hatua hii inakuja baada ya […]

Read More
 Afande Selle Awasuta Wasanii Wanaodharau Mashabiki Baada ya Kampeni ya Kususia Kazi Zao

Afande Selle Awasuta Wasanii Wanaodharau Mashabiki Baada ya Kampeni ya Kususia Kazi Zao

Msanii mkongwe Afande Selle amewakosoa baadhi ya wasanii wa Bongofleva wanaodaiwa kuwadharau mashabiki wao kwa kutoa kauli zinazokera, hasa katika kipindi hiki ambacho Watanzania wameendelea kuendesha kampeni ya kususia kazi za wasanii waliojihusisha na masuala ya ksiasa. Akizungumza kuhusu hali hiyo, msanii huyo amesema kuwa mashabiki ndiyo nguzo muhimu ya mafanikio ya msanii yeyote, hivyo […]

Read More
 Akothee Awaonya Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi

Akothee Awaonya Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi

Msanii asiyeishiwa na matukio kila leo, Akothee, amewaonya vikali wanaume wanaojaribu kuonyesha nia ya kuanzisha mahusiano ya kimapenzi naye, akisema wazi kuwa kwa sasa hayuko sokoni wala hana mpango wa kuingia kwenye uhusiano wowote. Kupitia ujumbe wake uliojaa msimamo Instagram, Akothee amesema hataki kutafutwa kimapenzi na wanaume wasiokuwa na mwelekeo wa maisha au maandalizi ya […]

Read More
 Msanii wa Uganda Glorie Bugie Akataa Shinikizo la Kuzaa Watoto

Msanii wa Uganda Glorie Bugie Akataa Shinikizo la Kuzaa Watoto

Msanii chipukizi kutoka Uganda, Glorie Bugie, amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia masuala ya kuzaa watoto, akibainisha kuwa kipaumbele chake kikubwa ni kuijenga na kuikuza taaluma yake ya muziki. Akizungumza kwenye moja ya Interview, Glorie Bugie amesema kuwa bado ana ndoto nyingi za kimuziki anazotaka kutimiza, ikiwemo kutoa kazi zenye ubora wa kimataifa na kupeperusha […]

Read More
 Harmonize Atangaza Kuachia Kolabo Tatu Disemba 25, Ikiwemo Ngoma na Mbosso

Harmonize Atangaza Kuachia Kolabo Tatu Disemba 25, Ikiwemo Ngoma na Mbosso

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza rasmi kuwa ataachia ngoma tatu za kolabo tarehe Disemba 25 mwaka 2025, zikiwemo kazi zinazowahusisha wasanii wakubwa ndani na nje ya Afrika Mashariki. Kupitia Instagram stories, Harmonize amefichua kuwa miongoni mwa kolabo hizo ni ushirikiano wake wa kwanza kabisa na Mbosso. Katika maelezo yao kupitia mitandao ya […]

Read More
 Nicholas Kioko na Wambo Watumia Helikopta Kwenye Gender Reveal, Watangaza Wanatarajia Mtoto wa Kike

Nicholas Kioko na Wambo Watumia Helikopta Kwenye Gender Reveal, Watangaza Wanatarajia Mtoto wa Kike

Wanandoa maarufu mitandaoni nchini Kenya, Nicholas Kioko na Wambo Ashley, wamevutia hisia za wengi baada ya kuandaa sherehe ya kifahari ya kutangaza jinsia ya mtoto wao, wakitumia helikopta (chopper) katika tukio lililojaa burudani. Kupitia video na picha walizoshiriki mitandaoni, wanandoa hao walionekana wakiwa katika hafla hiyo ya kipekee ambapo helikopta iliruka juu ya eneo la […]

Read More
 Bien Awataka Wasanii wa Kenya Kuepuka Shows Wanakodhulumiwa

Bien Awataka Wasanii wa Kenya Kuepuka Shows Wanakodhulumiwa

Msanii wa muziki kutoka Kenya na mwanachama wa kundi la Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza, ametoa wito mzito kwa wasanii nchini humo kutokubali kufanya maonyesho katika maeneo au matukio ambayo wanadharauliwa au kudhulumiwa. Kupitia ujumbe wake aliouweka kwenye mitandao ya kijamii, Bien amewapongeza wasanii wa Kodong Clan kwa uamuzi wao wa kujiondoa kwenye show ya Asake, […]

Read More
 Harmonize Afichua Gharama ya Ujenzi wa Nyumba yake ya Kifahari

Harmonize Afichua Gharama ya Ujenzi wa Nyumba yake ya Kifahari

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Harmonize, ameweka wazi gharama ya ujenzi wa nyumba yake ya kifahari inayojengwa katika eneo linalokaliwa na matajiri na watu mashuhuri nchini humo. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Harmonize amechapisha video zikionyesha mafundi wakiwa kazini kwenye jengo hilo kubwa na la kisasa. Katika maelezo aliyoyaambatanisha, msanii huyo ameeleza kuwa ujenzi wa […]

Read More