Eric Omondi Atangaza Rasmi Kuwania Ubunge Lang’ata

Eric Omondi Atangaza Rasmi Kuwania Ubunge Lang’ata

Mchekeshaji na mwanaharakati, Eric Omondi, ametangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti cha Ubunge wa Lang’ata katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza na waandishi wa habari, Omondi amesema azma yake kubwa ni kuongoza kampeni kabambe ya kuhamasisha vijana kujisajili kama wapiga kura, akisisitiza kuwa mabadiliko ya kweli ya uongozi yatawezekana tu iwapo vijana watajitokeza […]

Read More
 Harmorapa Ahitimu Shahada ya Uzamili, Asema Masomo Hayana Mwisho

Harmorapa Ahitimu Shahada ya Uzamili, Asema Masomo Hayana Mwisho

Msanii wa muziki na mchekeshaji, Harmorapa, amefanikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (Masters), hatua iliyowavutia na kuwafurahisha mashabiki wake mitandaoni. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Harmorapa amechapisha video akiwa amevalia vazi la mahafali, akimshukuru Mungu kwa kufanikisha safari yake ya masomo. Ameeleza kuwa baada ya kujikita katika muziki kwa muda, aliona umuhimu wa kuongeza […]

Read More
 Fantana Amwonya Diamond Platnumz Hadharani Baada ya Kutajwa Kwenye Tamasha Lagos

Fantana Amwonya Diamond Platnumz Hadharani Baada ya Kutajwa Kwenye Tamasha Lagos

Mwimbaji kutoka Ghana, Fantana, amemwonya staa wa muziki wa Tanzania, Diamond Platnumz, baada ya kudaiwa kulitaja jina lake wakati wa tamasha lake la hivi karibuni jijini Lagos, Nigeria. Kupitia Instagram Story, Fantana amehoji sababu ya Diamond kuendelea kulitaja jina lake hadharani ilhali anadaiwa kuwa na furaha katika ndoa yake. Amesema hatua hiyo si ya lazima […]

Read More
 AFCON 2025 Kuwa na Zawadi Kubwa Zaidi Katika Historia

AFCON 2025 Kuwa na Zawadi Kubwa Zaidi Katika Historia

Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF, limezindua rasmi mfumo mpya wa zawadi kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON elfu mbili ishirini na tano, zitakazoandaliwa nchini Morocco. Kwa mujibu wa CAF, michuano hiyo itashirikisha mataifa ishirini na manne, huku jumla ya zawadi ya kifedha ikifikia shilingi bilioni 4. Timu itakayonyakua ubingwa […]

Read More
 Meta Yazindua Instagram Kwenye TV

Meta Yazindua Instagram Kwenye TV

Kampuni ya Meta imetangaza rasmi kuanza kuweka app ya Instagram kwa watumiaji wa televisheni. Hatua hii inalenga kuwapa watumiaji fursa ya kutazama video za Reels kupitia screen kubwa za TV, badala ya kutegemea simu pekee. Kwa mujibu wa Meta, utekelezaji wa mpango huu umeanza kwa kushirikiana na Amazon Fire TV, huku ikipangwa kupanua huduma hiyo […]

Read More
 Gody Tennar Afunguka Sakata la Kuiba Ipad na Laptop Australia

Gody Tennar Afunguka Sakata la Kuiba Ipad na Laptop Australia

Msanii wa muziki wa Urbantone, Gody Tennor, amejitokeza kufafanua madai yaliyosambaa kuwa aliiba chain, iPad na laptop alipokuwa kwenye ziara yake nchini Australia. Akizungumza katika mawasiliano ya simu na mtangazaji Tonny Mwirigi, msanii huyo amesema madai hayo si ya kweli, akieleza kuwa mali hizo alizipokea kama zawadi kutoka kwa shabiki wa kike aliyekutana naye wakati […]

Read More
 Khadija Kopa: Hakuna Aliyesusia Muziki wa Bongo Fleva

Khadija Kopa: Hakuna Aliyesusia Muziki wa Bongo Fleva

Msanii mkongwe wa muziki wa Taarab, Khadija Kopa, ameweka wazi msimamo wake kuhusu madai ya kuwepo kwa ususiaji wa muziki wa Bongo Fleva, akisisitiza kuwa hakuna mtu aliyesusia muziki huo bali ni wasanii wenyewe wanaojijengea hofu bila sababu ya msingi. Akizungumzia hali ya sasa ya tasnia ya muziki nchini Tanzania, Khadija amesema wasanii hawapaswi kuogopa, […]

Read More
 Mke wa Bien Achoshwa na Maswali ya Kuzaa Mtoto

Mke wa Bien Achoshwa na Maswali ya Kuzaa Mtoto

Mke wa msanii wa muziki Bien, Chiki Kuruka, ameonyesha kukerwa kwake na watu wanaoendelea kumuuliza na kumshinikiza kuhusu suala la kumzalia mume wake mtoto, akisema maswali hayo yamekuwa yakivuka mipaka ya heshima na faragha yake binafsi. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, amesema amechoshwa na kuulizwa mara kwa mara ni lini atapata mtoto, hasa […]

Read More
 Lulu Diva Aonya Vijana Dhidi ya Kuvuruga Amani

Lulu Diva Aonya Vijana Dhidi ya Kuvuruga Amani

Msanii wa Bongofleva, Lulu Diva, ametoa onyo kali kwa vijana wa Kitanzania dhidi ya vitendo vinavyoweza kuvuruga amani ya nchi, akiwataka kutoruhusu kushawishiwa au kurubuniwa kuingiza taifa kwenye machafuko. Kwenye mkao na wanahabari, Lulu Diva ameeleza kuwa amani ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote, na pindi inapovunjika, madhara yake huwa makubwa na huchukua muda […]

Read More
 Huddah Monroe Asema Alitabiri Mapema Rais Ruto Atakuwa Rais wa Kenya

Huddah Monroe Asema Alitabiri Mapema Rais Ruto Atakuwa Rais wa Kenya

Socialite maarufu nchini Kenya, Huddah Monroe, amesema alitabiri mapema kuwa William Ruto angekuwa Rais wa Kenya siku moja, hata kabla hajaimarika kisiasa. Kupitia InstaStory, Huddah amechapisha picha ya zamani akionekana akiwa pamoja na Rais Ruto kipindi ambacho alikuwa bado anajitafuta na kujijenga katika ulingo wa siasa za kitaifa. Sambamba na picha hiyo, Huddah amesema aliwahi […]

Read More