Azziad Ajibu Vikali Lawama Kuhusu Mabadiliko ya Lafudhi Yake ya Kiingereza

Azziad Ajibu Vikali Lawama Kuhusu Mabadiliko ya Lafudhi Yake ya Kiingereza

Mtayarishaji wa maudhui na mtangazaji wa redio, Azziad Nasenya, amewasuta vikali wakosoaji wanaoendelea kumshambulia mitandaoni kwa kile walichodai ni kubadilika kwa lafudhi (accent) yake ya lugha ya Kiingereza. Azziad ameeleza kuwa lafudhi yake itaendelea kubadilika kadri anavyoendelea kukutana na tamaduni na jamii mbalimbali, na kwamba hakuna kiwango cha unyanyasaji au kejeli kitakachoweza kumkatisha tamaa. Akizungumza […]

Read More
 Chino Kidd Aibua Tuhuma Nzito Dhidi ya Wakosoaji wa Wasanii

Chino Kidd Aibua Tuhuma Nzito Dhidi ya Wakosoaji wa Wasanii

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Chino Kidd, ameibua mjadala mpana baada ya kutoa tuhuma nzito dhidi ya baadhi ya wakosoaji wa muziki na watu wanaojitokeza hadharani kuzungumzia wasanii, akidai kuwa baadhi yao hulipwa fedha ili kuwakosoa na kuwazungumzia vibaya wasanii wa Bongo Fleva. Akizungumzia hali hiyo, Chino Kidd amesema kuwa si kila ukosoaji unaofanyika […]

Read More
 Christian Bella Apewa Rasmi Uraia wa Tanzania

Christian Bella Apewa Rasmi Uraia wa Tanzania

Msanii wa muziki wa Bongofleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop, Christian Bella, amepewa rasmi uraia wa Tanzania baada ya kuishi nchini humo kwa muda mrefu na kutoa mchango mkubwa katika sekta ya sanaa. Serikali imeeleza kuwa Christian Bella ameishi Tanzania kwa muda mrefu, ameanzisha familia, ana watoto na amejiunga kikamilifu na jamii ya Watanzania. […]

Read More
 Marioo Akanusha Madai ya Kununua Views YouTube

Marioo Akanusha Madai ya Kununua Views YouTube

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo, ameibuka na kukanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni kwamba alinunua watazamaji (views) wa YouTube kwa ajili ya wimbo wake mpya Oluwa. Kupitia mitandao yake ya kijamii , Marioo amesisitiza kuwa idadi kubwa ya watazamaji walioupokea wimbo huo ni halali kabisa na inatokana na mapenzi ya mashabiki wake walio ndani na nje […]

Read More
 Khadija Kopa Amkingia Kifua Diamond kwa Kuwataka Vijana Kufanya Kazi 

Khadija Kopa Amkingia Kifua Diamond kwa Kuwataka Vijana Kufanya Kazi 

Malkia wa taarab, Khadija Kopa, amemkingia kifua msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kufuatia kauli yake iliyozua mjadala kuhusu Watanzania kuhamasishwa kufanya kazi kwa bidii. Akizungumza na waandishi wa habari, Khadija Kopa amesema kuwa changamoto kubwa katika jamii ni kwamba watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli, hata pale unaposemwa kwa nia njema ya kujenga. Kopa amewataka […]

Read More
 Prezzo Awaomba Mapromota Wasikilize Kilio cha DNA

Prezzo Awaomba Mapromota Wasikilize Kilio cha DNA

Msanii mkongwe wa muziki nchini Kenya, Prezzo, ametoa wito kwa mapromota wa burudani nchini humo kuzingatia ombi la msanii DNA, akiwataka kumpatia nafasi ya kushiriki kwenye shows za kufunga mwaka, hususan zile za tarehe 31 Desemba. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Prezzo amewaomba mapromota kuonyesha moyo wa kusaidia, akisema kuwa DNA haombi mengi, […]

Read More
 Shilole Asema Kuchomwa kwa  Mgahawa Wake  Zimeongeza Ari ya Mapambano

Shilole Asema Kuchomwa kwa  Mgahawa Wake Zimeongeza Ari ya Mapambano

Msanii wa muziki na mjasiriamali kutoka Tanzania, Shilole, amefunguka kuhusu tukio la kusikitisha la kuchomwa kwa mgahawa wake, Shishi Food, wakati wa machafuko yaliyojitokeza katika kipindi cha uchaguzi nchini Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari, Shilole amesema licha ya hasara kubwa aliyopata, hana chuki wala kinyongo dhidi ya waandamanaji waliohusika na uharibifu huo. Kwa mujibu […]

Read More
 KRG The Don Aingia Kwenye Biashara ya Kutengeneza Tissue Pape

KRG The Don Aingia Kwenye Biashara ya Kutengeneza Tissue Pape

Msanii wa muziki, KRG The Don, ameonekana kupanua wigo wake wa kibiashara baada ya kuashiria kuingia katika biashara ya kuzalisha tissue paper. Kupitia Instagram Story, KRG amechapisha picha za vifurushi vya tissue paper, akizisindikiza na neno “mboka” linalomaanisha kazi. Hatua hiyo imekitafsiri kuwa msanii huyo huenda tayari ameanza rasmi shughuli za uzalishaji wa bidhaa hiyo. […]

Read More
 Moji Shortbaba na Mkewe Nyawira Watangaza Kupata Mtoto wa Kwanza

Moji Shortbaba na Mkewe Nyawira Watangaza Kupata Mtoto wa Kwanza

Msanii wa muziki wa injili, Moji Shortbaba, pamoja na mkewe Nyawira Gachugi, wamekaribisha mtoto wao wa kwanza, tukio lililojaa furaha na shukrani kubwa kwa familia hiyo changa. Kupitia ujumbe wenye hisia waliomchapisha mtandaoni, wanandoa hao wametangaza kwa furaha kuwa mtoto wao mchanga amewasili salama, wakieleza kuwa ni baraka waliyoingojea kwa hamu kubwa. Moji Shortbaba na […]

Read More
 Spice Diana Aitaka Serikali Kufungua Facebook na Kudhibiti TikTok

Spice Diana Aitaka Serikali Kufungua Facebook na Kudhibiti TikTok

Msanii wa muziki kutoka Uganda, Spice Diana, ametoa wito kwa serikali ya Uganda kufungua kikamilifu mtandao wa Facebook, akisema kufungwa kwake kumeathiri biashara na wabunifu wa maudhui nchini humo. Akizungumza kwenye mahojiano hivi karibuni, Spice Diana amesema Facebook ni jukwaa muhimu kwa wajasiriamali na wasanii, lakini kufungiwa kwake kumepelekea watumiaji wengi kulazimika kutumia VPN, hali […]

Read More