Bella Kombo Akataa Kufuta Tatto Zake Licha ya Lawama

Bella Kombo Akataa Kufuta Tatto Zake Licha ya Lawama

Msanii wa muziki wa injili, Bella Kombo, ameweka bayana msimamo wake kufuatia shinikizo kutoka kwa baadhi ya mashabiki waliomtaka afute tattoo alizonazo mwilini. Akizungumza katika mahojiano ya hivi karibuni, Bella amesema yuko tayari kupokea maoni ya watu, lakini hatokubali kuhatarisha afya wala maisha yake kwa lengo la kuwafurahisha wengine. Ameeleza kuwa tattoo hizo zina maana […]

Read More
 Mwijaku Aomba Msamaha kwa Mkewe

Mwijaku Aomba Msamaha kwa Mkewe

Mtangazaji na mdau wa burudani Mwijaku ameomba msamaha kwa mkewe kufuatia sintofahamu zilizozuka hivi karibuni katika ndoa yao. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwijaku amesema anatambua ana mapungufu yake kama binadamu, lakini amemuomba mkewe amtazame kwa jicho la huruma na kukumbuka safari ndefu waliopitia pamoja. Mwijaku ameeleza kuwa tangu alipoingia kwenye ndoa, amekuwa akipambana kwa […]

Read More
 DNA Afichua Sababu za Kukosa Show Nchini Kenya

DNA Afichua Sababu za Kukosa Show Nchini Kenya

Msanii mkongwe wa muziki wa Kenya, DNA, amefunguka na kueleza sababu zinazowafanya mapromota wengi nchini humo kukataa kumpa nafasi ya kutumbuiza kwenye matamasha ya muziki. Akizungumza kwa uwazi, DNA amesema moja ya changamoto kubwa inayomkabili ni tabia yake ya kutojipendekeza au kuwabembeleza watu ili apate kazi. Kwa mujibu wake, hali hiyo imefanya baadhi ya mapromota […]

Read More
 Nadia Mukami Ashindwa Kuficha Furaha Baada ya Wimbo Wake Kushika Namba Moja YouTube Kenya

Nadia Mukami Ashindwa Kuficha Furaha Baada ya Wimbo Wake Kushika Namba Moja YouTube Kenya

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Nadia Mukami, ameshindwa kuficha furaha yake baada ya wimbo wake mpya Woza kushika nafasi ya kwanza kwenye chati ya YouTube Trending Kenya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nadia amewashukuru mashabiki wake pamoja na Mungu kwa mafanikio hayo makubwa, akieleza kuwa mapenzi na sapoti ya mashabiki ndiyo yameufikisha wimbo huo kileleni […]

Read More
 Harmonize Kuachia Albamu Mpya Januari 2026

Harmonize Kuachia Albamu Mpya Januari 2026

Msanii nyota wa Bongofleva, Harmonize, ametangaza rasmi kuwa ataachia albamu yake mpya mwezi Januari 2026, licha ya awali kuiahirisha kutokana na hali ya mashabiki kuwakataa baadhi ya wasanii waliojihusisha na siasa zilizosababisha machafuko nchini Tanzania. Kupitia taarifa yake, Harmonize amesema sasa kila kitu kipo tayari na amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula ili kuipokea […]

Read More
 Iyanii Aahidi Kutoa Mapato Yake ya Muziki Kwa Wafungwa

Iyanii Aahidi Kutoa Mapato Yake ya Muziki Kwa Wafungwa

Msanii wa muziki nchini Kenya, Iyanii, amewagusa wengi baada ya kutangaza uamuzi wake wa kusaidia wafungwa kupitia mapato ya muziki wake. Kupitia podcast ya Mic Check, Iyanii amesema ameahidi kutenga asilimia 20 ya mapato yote atakayopata kutokana na muziki wake ili kuwasaidia watu walioko magerezani. Msanii huyo amesema hatua hiyo inalenga kuwapa wafungwa matumaini na […]

Read More
 Bradley Ibs Atwaa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Novemba 2025

Bradley Ibs Atwaa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Novemba 2025

Kocha wa Nairobi City Thunder, Bradley Ibs, ametangazwa rasmi kuwa Kocha Bora wa Mwezi Novemba 2025 baada ya kutwaa tuzo ya Betika/SJAK, tuzo inayotolewa kwa kutambua mchango wa makocha waliobobea katika michezo mbalimbali nchini. Bradley alipata heshima hiyo kufuatia mafanikio makubwa aliyopata akiwaongoza mabingwa wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu nchini kufuzu kwa Ligi […]

Read More
 Telegram Yaweka Rasmi Mfumo wa Passkey kwa Watumiaji Wote

Telegram Yaweka Rasmi Mfumo wa Passkey kwa Watumiaji Wote

Telegram imeweka rasmi mfumo mpya wa usalama unaojulikana kama Passkey, hatua inayolenga kuimarisha zaidi usalama wa akaunti za watumiaji wake duniani kote. Mfumo huu sasa unapatikana kwa watumiaji wote wa iOS, Android, macOS na Windows. Mfumo wa Passkey unamwezesha mtumiaji kuingia kwenye akaunti yake bila kutumia neno la siri (password) au PIN za kawaida. Badala […]

Read More
 Akothee Ataka Jamii Iache Kuingilia na Kukosoa Mtindo Wake wa Mavazi

Akothee Ataka Jamii Iache Kuingilia na Kukosoa Mtindo Wake wa Mavazi

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee, amewataka wakosoaji wake kuacha kuingilia mtindo wake wa mavazi na maisha binafsi, akisema lawama nyingi zinazomkabili zinatoka kwa watu wasioishi kulingana na maadili wanayoyahubiri mitandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Akothee ameweka wazi kuwa hataki kuelekezwa jinsi ya kuvaa na watu anaodai wanaficha maovu yao binafsi nyuma ya pazia […]

Read More