Mwijaku Aumizwa na Kitendo cha Ndoa Yake Kuvunjika

Mwijaku Aumizwa na Kitendo cha Ndoa Yake Kuvunjika

Mtangazaji na mdau wa burudani kutoka Tanzania, Mwijaku, amefunguka kwa uchungu baada ya mke wake kukataa kurudiana naye licha ya kuomba msamaha. Kupitia ukurasa wake wa Instastory, Mwijaku ameeleza kuwa kinachomuumiza zaidi ni mazoea ya muda mrefu, kwani wameishi pamoja kwa zaidi ya miaka 15 na sasa ndoto yao ya kifamilia inavunjika kwa kosa moja. […]

Read More
 Huddah Monroe Ashukuru Wakili Aliyemsaidia Kurekebisha Meno Yake

Huddah Monroe Ashukuru Wakili Aliyemsaidia Kurekebisha Meno Yake

Mrembo maarufu katika mitandao ya kijamii, Huddah Monroe, ameonyesha shukrani zake kwa wakili mmoja wa Kenya aliyemsaidia kurejesha tabasamu lake kwa kumsaidia kifedha. Kupitia Instastory, Huddah amefichua kuwa wakili huyo alimpatia shilingi milioni 2, fedha zilizotumika kurekebisha meno yake yaliyokuwa yameharibika baada ya kuhusika kwenye ajali akiwa bado msichana mdogo. Akizungumza kuhusu safari yake ya […]

Read More
 Mulamwah na Carol Sonnie Wazidisha Tetesi za Kurudiana

Mulamwah na Carol Sonnie Wazidisha Tetesi za Kurudiana

Mchekeshaji na mbunifu wa maudhui nchini Kenya, Mulamwah, pamoja na baby mama wake Carol Sonnie, wamezua gumzo mitandaoni baada ya wawili hao kushare picha wakionekana kuwa kwenye date maalum ya kifamilia wakiwa pamoja na mtoto wao. Kupitia picha na video zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Mulamwah na Carol Sonnie walionekana wakifurahia muda pamoja, jambo lililowafanya […]

Read More
 Parroty Vunulu Alalamikia Redio za Kenya Kupendelea Wasanii wa Tanzania

Parroty Vunulu Alalamikia Redio za Kenya Kupendelea Wasanii wa Tanzania

Msanii wa muziki wa Gengetone Parroty Vunulu ameibuka na malalamiko makali dhidi ya baadhi ya vituo vya redio nchini Kenya, akidai vinapendelea wasanii wa Tanzania huku vikisahau kabisa kukuza na kuunga mkono wasanii wa ndani. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Parroty Vunulu amesema redio nyingi za Kenya zimekuwa zikijikita zaidi katika kuzungumzia na kupiga muziki […]

Read More
 Yammi Atikisa Mitandao kwa Dokezo la Kolabo na Diamond Platnumz

Yammi Atikisa Mitandao kwa Dokezo la Kolabo na Diamond Platnumz

Msanii wa Bongo Fleva Yammi amezua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kudokeza uwezekano wa kolabo yake na staa wa kimataifa Diamond Platnumz. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Yammi ameposti picha ya pamoja na Diamond Platnumz, hatua iliyochochea hisia na mijadala miongoni mwa mashabiki wao. Kilichozidi kuwasha moto wa gumzo hilo ni ujumbe aliouambatanisha […]

Read More
 Ringtone Apoko Awataka Wasanii Wakongwe wa Injili Kenya Kustaafu

Ringtone Apoko Awataka Wasanii Wakongwe wa Injili Kenya Kustaafu

Msanii wa muziki wa injili Ringtone Apoko ameibua mjadala mkubwa baada ya kutoa kauli nzito akiwataka wasanii wakongwe wa injili kuachia nafasi vijana, akidai kuwa wameshindwa kuendeleza na kuupa mwelekeo mpya muziki wa injili, hali iliyosababisha kuporomoka kwa umaarufu wa muziki huo. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, Ringtone amesema kuwa tasnia ya muziki wa injili […]

Read More
 Nadia Mukami Akanusha Kuiba Ubunifu wa Zuchu na Kutumia Kwenye Wimbo Wake Mpya

Nadia Mukami Akanusha Kuiba Ubunifu wa Zuchu na Kutumia Kwenye Wimbo Wake Mpya

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Nadia Mukami, ameweka wazi msimamo wake kufuatia madai yaliyosambaa mitandaoni kwamba wimbo wake mpya Woza ulinakiliwa au kusampuliwa kutoka kwa msanii wa Tanzania, Zuchu. Akizungumza kuhusu suala hilo, Nadia amesisitiza kuwa Woza haujanakiliwa wala kusampuliwa kutoka kwa wimbo wowote wa Zuchu. Ameeleza kuwa kilichofanyika ni yeye na mtayarishaji wake, Teknixx, […]

Read More
 Shorn Arwa Ajizawadia Toyota Harrier Mpya Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Shorn Arwa Ajizawadia Toyota Harrier Mpya Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Influencer wa Kenya, Shorn Arwa, amejizawadia gari jipya aina ya Toyota Harrier lenye vifaa kamili kwenye siku yake ya kuzaliwa, hatua iliyozua pongezi na gumzo mitandaoni. Kupitia chapisho lake la kusherehekea birthday yake, Shorn Arwa ameonyesha shukrani kubwa kwa Mungu na kujivunia hatua aliyofikia, akieleza kuwa mambo aliyokuwa akiyaomba hapo awali sasa yamekuwa sehemu ya […]

Read More