Huddah Monroe Afunguka Namna Marehemu Silas Jirongo Alivyombadilisha Maisha Yake

Huddah Monroe Afunguka Namna Marehemu Silas Jirongo Alivyombadilisha Maisha Yake

Socialite kutoka Kenya Huddah Monroe amefunguka kwa hisia kali kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge nchini humo, marehemu Cyrus Jirongo, akieleza namna alivyomsaidia kifedha kwa kiasi kikubwa na kumtoa kwenye hali ngumu ya maisha. Kupitia ujumbe wake wa rambirambi aliouchapisha mitandaoni, Huddah amesema msaada wa Jirongo ulikuwa wa kipekee na wa kubadilisha maisha, akisisitiza kuwa ni […]

Read More
 Harmonize: Sitaki Kuhusishwa Tena na Muziki wa Kiswahili

Harmonize: Sitaki Kuhusishwa Tena na Muziki wa Kiswahili

Staa wa muziki wa Bongofleva, Harmonize, ameweka wazi msimamo wake mpya wa kisanii kwa kusisitiza kuwa hataki kabisa kuhusishwa na muziki wa Kiswahili wala kulinganishwa na wasanii wanaoimba kwa lugha hiyo. Harmonize amesema yupo katika hatua muhimu ya mabadiliko ya kimkakati kwenye muziki wake, ambapo analenga kikamilifu soko la kimataifa kupitia kazi zinazotumia lugha ya […]

Read More
 Instagram Yazindua Algorithm Mpya ya Kubinafsisha Maudhui

Instagram Yazindua Algorithm Mpya ya Kubinafsisha Maudhui

Instagram imezindua mfumo mpya wa algorithm unaowawezesha watumiaji kudhibiti maudhui wanayoona kwenye ukurasa wao wa nyumbani. Mfumo huu mpya unalenga kubinafsisha uzoefu wa kila mtumiaji kulingana na maslahi yake binafsi. Kwa mujibu wa maelezo ya Instagram, sasa watumiaji wanaweza kuunda algorithm zao wenyewe. Hii inamaanisha unaweza kuamua ni aina gani ya posts unazopendelea kuona ama […]

Read More
 Dulla Makabila Akataa Kuwaomba Watanzania Msamaha kwa Kujihusisha na Siasa

Dulla Makabila Akataa Kuwaomba Watanzania Msamaha kwa Kujihusisha na Siasa

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Dulla Makabila, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kukataa kuomba msamaha kwa mashabiki kufuatia wasanii kadhaa kulaumiwa kwa kujihusisha na siasa za uchaguzi zilizoibua utata na machafuko nchini humo. Kupitia ujumbe mrefu na wenye hisia kali, Dulla Makabila amesema kuwa binafsi hataki kuombewa msamaha kwa madai ya kuwakwaza watu kutokana […]

Read More
 Spice Diana Akataa Kuweka Wazi Uhusiano Wake wa Kimapenzi

Spice Diana Akataa Kuweka Wazi Uhusiano Wake wa Kimapenzi

Msanii nyota wa Uganda, Spice Diana, ameweka wazi kuwa yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi lakini ameamua kuficha kwa sasa hadi pale atakapokuwa tayari kuuthibitisha rasmi mbele ya umma. Akizungumza kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini Uganda, Spice Diana amesema kuwa anafurahia maisha yake ya mapenzi kwa utulivu mkubwa, mbali na macho ya umma. […]

Read More
 Guardian Angel Awasisimua Mashabiki kwa Kumsuprise Mkewe kwa Lunch Maalum

Guardian Angel Awasisimua Mashabiki kwa Kumsuprise Mkewe kwa Lunch Maalum

Msanii wa muziki wa Injili, Guardian Angel, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuamua kumpa mke wake, Esther Musila, suprise ya kipekee kwa kumpeleka kwenye lunch maalum wakati walipokuwa jijini Kisumu kwa shughuli za kikazi. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Guardian ameposti video inayoonesha safari yao pamoja na nyakati za furaha walizoshiriki katika mkahawa […]

Read More
 Diamond Aingilia Ndoa ya Mwijaku

Diamond Aingilia Ndoa ya Mwijaku

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameamua kuingilia kati sakata la ndoa ya mtangazaji na mwanahabari Mwijaku, ambayo kwa sasa inadaiwa kuyumba kufuatia madai ya usaliti. Kupitia video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Diamond ameonekana akiwa pamoja na Mwijaku ambapo alitumia fursa hiyo kumuomba msamaha mke wa Mwijaku na kumshawishi arejee nyumbani ili kuokoa […]

Read More
 Willy Paul Aweka Rekodi Mpya Boomplay Kama Msanii wa Kiume Anayesikilizwa Zaidi

Willy Paul Aweka Rekodi Mpya Boomplay Kama Msanii wa Kiume Anayesikilizwa Zaidi

Msanii nyota wa muziki kutoka Kenya, Willy Paul, ameweka rekodi mpya kwenye jukwaa la muziki la Boomplay baada ya kutajwa kuwa msanii wa kiume anayesikilizwa zaidi kwenye mtandao huo. Willy Paul amefikisha jumla ya wasikilizaji milioni 107 huku wimbo wake “Keki” aliomshirikisha Bahati ukitajwa kuwa wimbo uliosikilizwa zaidi mwaka 2025. Kupitia mitandao ya kijamii, msanii […]

Read More
 Mwigizaji wa Kenya Awahimiza Mabinti Kuepuka Rushwa ya Ngono

Mwigizaji wa Kenya Awahimiza Mabinti Kuepuka Rushwa ya Ngono

Mwigizaji wa filamu kutoka Kenya, Makena Kahuha, ametoa onyo kali kwa mabinti wanaotamani kujiunga na tasnia ya filamu, akiwataka wajihadhari dhidi ya rushwa ya ngono ambayo bado inatajwa kuwa changamoto kubwa katika sekta hiyo. Kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni, Makena amesema kuwa baadhi ya mabinti hujikuta wakilazimika kushiriki mapenzi na wanaume wenye ushawashi ili […]

Read More