KRG The Don Aahidi Kutoa Msaada kwa Wasanii wa Bongoflev
Msanii na mfanyabiashara wa Kenya, KRG The Don, ametangaza mpango wa kutoa msaada wa kifedha kwa baadhi ya wasanii wa Bongo wanaodaiwa kukumbwa na changamoto baada ya mashabiki kuwageuka. Kupitia chapisho lake la Instagram, KRG The Don ameweka video akionekana ndani ya gari akiwa na vibandu vya pesa vinavyokadiriwa kufikia shilingi milioni 10 za Kenya, […]
Read More