Kabuda Apuuza Ushauri wa Wafuasi wake Kuhusu Ulaji wa Junk Foods

Kabuda Apuuza Ushauri wa Wafuasi wake Kuhusu Ulaji wa Junk Foods

Mtengeneza maudhui wa vyakula mtandaoni, anayefahamika kama Kabuda, amepuzilia mbali miito ya baadhi ya wafuasi wake wanaomtaka apunguze ulaji wa junk food kutokana na athari za kiafya. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Kabuda amesisitiza kwamba hana mpango wa kubadili anavyokula na kwamba anaamini mwili mpya atapewa mbinguni. Kwa muda mrefu, Kabuda amekuwa akivutia watazamaji kupitia […]

Read More
 Msanii Anjella Aingia Rasmi Kwenye UdalaIi wa Nyumba Baada ya Kushindwa na Muziki

Msanii Anjella Aingia Rasmi Kwenye UdalaIi wa Nyumba Baada ya Kushindwa na Muziki

Mwanamuziki wa Bongofleva Anjella ameibuka na kuweka wazi kuwa maisha ya sanaa yamekuwa magumu kwake, hasa upande wa kupata kipato cha kutosha, hali iliyomlazimu kuanza kutafuta riziki kupitia udalali wa nyumba. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Anjella amesema wazi kuwa muziki haujamletea mapato ya kutosheleza mahitaji yake, na hivyo ameamua kuwekeza nguvu katika kazi ya […]

Read More
 Eddy Kenzo Aahidi Mabadiliko Makubwa Kwa Wasanii Uganda

Eddy Kenzo Aahidi Mabadiliko Makubwa Kwa Wasanii Uganda

Staa wa muziki kutoka Uganda, Eddy Kenzo, ameibua matumaini mapya kwa wasanii baada ya kutangaza kuwa serikali imeipa kipaumbele marekebisho ya sheria ya hakimiliki ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu. Kenzo ambaye ni rais wa shirikisho la wasanii nchini Uganda, amesema kuwa muswada huo utashughulikiwa mara tu Bunge la mwaka 2026 litakapoketi rasmi kuanza kazi. […]

Read More
 WhatsApp Kuboresha Groups kwa Kuwapa Wanachama Wapya Chats za Hivi Karibuni

WhatsApp Kuboresha Groups kwa Kuwapa Wanachama Wapya Chats za Hivi Karibuni

WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kipengele kipya kitakachowezesha wanachama wapya wa group kuona historia ya mazungumzo ya masaa 24 yaliyopita mara tu wanapojiunga. Hatua hii inalenga kuboresha uelewa wa mazungumzo na kuondoa utata unaotokea pale mtu anapoingia kwenye group bila kufahamu kilichokuwa kinaendelea. Kipengele hiki kikizinduliwa rasmi, kitawapa urahisi wanachama wapya kufuatilia mijadala ya karibuni, […]

Read More
 Nviiri the Storyteller Akataa Smartphone kwa Ajili ya Kulinda Afya Ya Akili

Nviiri the Storyteller Akataa Smartphone kwa Ajili ya Kulinda Afya Ya Akili

Mwanamuzik Nviiri the Storyteller amefichua kuwa ameachana kabisa na matumizi ya simu aina ya smartphone ili kujiepusha na usumbufu wa mtandaoni na kulinda utulivu wake wa kiakili. Akizungumza katika Iko Nini Podcast, Nviiri amesema kuwa matumizi ya simu janja yalikuwa yanamchosha kiakili kutokana na presha za mitandao ya kijamii. Amesema tangu aanze kutumia simu ya […]

Read More
 Rapa Kanambo Dede Akamilisha Masomo yake ya Kidato cha Nne

Rapa Kanambo Dede Akamilisha Masomo yake ya Kidato cha Nne

Rapper Kanambo Dede ametimiza hatua muhimu katika maisha yake baada ya kukamilisha rasmi masomo yake ya sekondari. Taarifa za kuhitimu kwake zimethibitishwa na msanii na mkurugenzi wa Kaka Empire, King Kaka, ambaye ameposti kipande cha video akiwa na Kanambo na kusisitiza kuwa mashabiki wajiandae kupokea muziki mzuri kutoka kwake. King Kaka ameonyesha matumaini makubwa kwa […]

Read More
 Cindy Sanyu Awataka Wanawake Kufanikisha Malengo  yao Badala ya Kukimbilia Ndoa.

Cindy Sanyu Awataka Wanawake Kufanikisha Malengo  yao Badala ya Kukimbilia Ndoa.

Mwanamuziki kutoka Uganda, Cindy Sanyu, ameibua mjadala mtandaoni baada ya kushauri mabinti kutokurukia ndoa kabla ya kutimiza malengo yao muhimu ya maisha. Kupitia mahojiano ya hivi karibuni, Cindy amesema kwamba ndoa ni jukumu zito linalohitaji ukomavu, utulivu wa kihisia, muda wa kutosha na kujitolea, majukumu ambayo yanaweza kupoteza mwelekeo kwa mwanamke ambaye bado hajajijenga kikazi […]

Read More
 Weasel Ashangaza Umma Baada ya Kudai Mozey Radio Alistahili Kufariki

Weasel Ashangaza Umma Baada ya Kudai Mozey Radio Alistahili Kufariki

Msanii wa muziki kutoka Uganda Weasel Manizo ameibua taharuki mitandaoni baada ya kutoa kauli tata kuhusu aliyekuwa rafiki wake wa karibu, Mozey Radio, aliyefariki minane iliyopita. Katika majibizano na wafuasi wa NUP mtandaoni, Weasel alijibu shabiki aliyemshutumu kuhusika na kifo cha Radio kwa maneno makali akidai kifo hicho kilikuwa kinastahili na kwamba hana majuto. Kauli […]

Read More
 Stivo Simple Boy Ahitimu Diploma ya Hospitality

Stivo Simple Boy Ahitimu Diploma ya Hospitality

Msanii wa Kenya, Stivo Simple Boy, ameongeza hatua nyingine muhimu katika safari yake ya maisha baada ya kuhitimu masomo yake na kupata Diploma katika kozi ya Hospitality. Stivo ameshiriki furaha yake kupitia mitandao ya kijamii, akipakia picha akiwa amevalia mavazi ya mahafali pamoja na ujumbe mfupi wenye uzito mkubwa unaosomeka “God wins.” Msanii huyo ameahidi […]

Read More