Marioo Aonyesha Muonekano Mpya Baada ya Kuchora Tattoo Maalum

Marioo Aonyesha Muonekano Mpya Baada ya Kuchora Tattoo Maalum

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Marioo, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuonesha muonekano wake mpya uliopambwa na tattoo kadhaa zenye maana kubwa maishani mwake. Msanii huyo ameonekana akijivunia mchoro mpya kwenye mkono wake wa kushoto, ambao umebeba kumbukumbu muhimu za safari yake ya muziki na maisha binafsi. Tattoo hizo zinajumuisha tarehe ya kuzaliwa ya mpenzi […]

Read More
 Ringtone Amkosoa Guardian Angel kwa Kushindwa Kukemea Maovu Kwenye Jamii

Ringtone Amkosoa Guardian Angel kwa Kushindwa Kukemea Maovu Kwenye Jamii

Msanii wa injili Ringtone ametikisa mitandao ya kijamii baada ya kumkosoa vikali Guardian Angel, akidai ameshindwa kuwatumia vyema wasanii wa injili katika kupaza sauti dhidi ya maovu yanayoikumba jamii. Ringtone anasema kwamba Guardian Angel, ambaye ni mmoja wa majina makubwa katika muziki wa injili nchini, ameshindwa kutimiza wajibu wake kama kiongozi wa kiroho katika tasnia […]

Read More
 Studio ya Nandor Love Yavamiwa na Majambazi Uganda

Studio ya Nandor Love Yavamiwa na Majambazi Uganda

Msanii wa muziki kutoka Uganda, Nandor Love, anapitia wakati mgumu baada ya studio yake, Ghost Empire Records, kuvamiwa na majambazi na kuporwa vifaa vya thamani usiku wa kuamkia jana. Kwa mujibu wa Nandor Love, wahalifu hao waliiba vifaa kadhaa vya muziki na uzalishaji ambavyo ni muhimu kwa shughuli za kila siku za Ghost Empire Records. […]

Read More
 Watoto Wa Bahati Wawasha Mjadala Mtandaoni Kuhusu Harusi

Watoto Wa Bahati Wawasha Mjadala Mtandaoni Kuhusu Harusi

Mwanamitandao Diana Bahati amejikuta akichekeshwa na kuburudishwa na kitendo cha mabinti wao, Mueni Bahati na Heaven Bahati, walipomshinikiza baba yao hadharani wakimtaka atoe tarehe ya harusi yao ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu. Katika video iliyosambaa mtandaoni, mabinti hao waliibua mjadala baada ya kumwuliza Bahati kuhusu lini harusi yake na Diana itafanyika, jambo lililowafanya mashabiki […]

Read More
 Afande Sele Afunga Ndoa na Mpenzi wake wa Muda Mrefu

Afande Sele Afunga Ndoa na Mpenzi wake wa Muda Mrefu

Msanii mkongwe wa Bongofleva Seleman Msindi, maarufu kama Afande Sele, ameanza ukurasa mpya maishani baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake Wema Raphael Makongoro jana, Desemba 6, 2025, katika hafla iliyofanyika mkoani Morogoro. Ndoa hiyo imefungwa kiserikali mbele ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Hilary Sagara, na kuhudhuriwa na ndugu, wasanii, marafiki wa karibu […]

Read More
 VJ Patelo Ataka Vijana Kuchukua Tahadhari Baada ya Kuongezeka kwa HIV

VJ Patelo Ataka Vijana Kuchukua Tahadhari Baada ya Kuongezeka kwa HIV

Msanii wa arbantone, VJ Patelo, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kutoa kauli tata kuhusiana na taarifa za kuongezeka kwa maambukizi mapya ya virusi vya HIV nchini Kenya. Kupitia video aliyochapisha kwenye mtandao wa TikTok, Patelo amesema kuwa takwimu hizo zinamfanya ajisikie vizuri kwa sababu zinatoa onyo kali kwa watu wanaofanya ngono kiholela. Patelo amesisitiza […]

Read More
 Eric Omondi Ataka Wasanii Tanzania Kuungana Kupinga Udhalimu

Eric Omondi Ataka Wasanii Tanzania Kuungana Kupinga Udhalimu

Msanii wa vichekesho na mwanaharakati wa kijamii, Eric Omondi, ametoa wito kwa wasanii nchini Tanzania kuungana kupinga udhalimu na kutokubali kutumika kisiasa kwa njia zinazoharibu taswira na brand zao. Akipiga stori na Plug TV, Omondi amesema kuwa muziki na sanaa kwa ujumla hubaki mioyoni mwa watu kwa muda mrefu zaidi kuliko siasa, akisisitiza kuwa wasanii […]

Read More