Dogo Janja Aapishwa kama Diwani wa Ngarenaro Arusha

Dogo Janja Aapishwa kama Diwani wa Ngarenaro Arusha

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende, maarufu kama Dogo Janja, ameapishwa rasmi kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, hatua inayomuingiza kwenye majukumu mapya ya uongozi wa kijamii. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dogo Janja ameeleza kuwa anamshukuru Mungu kwa kuthibitishwa katika nafasi hiyo pamoja na kupewa majukumu […]

Read More
 Cindy Sanyu Ajitenga na Siasa za Urais Uganda

Cindy Sanyu Ajitenga na Siasa za Urais Uganda

Msanii nyota wa Uganda, Cindy, ameweka wazi kuwa hatajihusisha na kampeni za urais zinazondelea nchini humo kwa ajili ya kuilinda brand yake ya muziki na umoja wa mashabiki. Akizungumza kwenye kituo kimoja cha runinga nchini humo, rais huyo wa Chama cha Wasanii nchini Uganda (UMA) amesema ameijenga taaluma yake kwa takriban miaka 20, na kwa […]

Read More
 Jackie Chandiru: Sitoweka Tena Mahusiano Yangu Mtandaoni

Jackie Chandiru: Sitoweka Tena Mahusiano Yangu Mtandaoni

Msanii kutoka Uganda, Jackie Chandiru, amesema kuwa amejifunza kutokana na changamoto za mahusiano aliyopitia hapo awali, na hatoweka tena maisha yake ya kimapenzi hadharani. Akizungumza kuhusu safari yake ya mapenzi, Chandiru ambaye aliwahi kung’ara kama mwanachama wa kundi la Blu 3, amesema kuwa zamani alikuwa akionesha wazi wapenzi wake kwenye mitandao ya kijamii, hatua ambayo […]

Read More
 Meta Yafuta Akaunti ya Instagram ya Mwanaharakati wa Tanzania Mange Kimambi  

Meta Yafuta Akaunti ya Instagram ya Mwanaharakati wa Tanzania Mange Kimambi  

Kampuni ya Meta imefuta rasmi akaunti ya Instagram inayomilikiwa na mwanaharakati wa Marekani mwenye asili ya Tanzania na mkosoaji mkali wa serikali ya Rais Samia Suluhu, Mange Kimambi. Mange amedai kuwa alipoteza kabisa akaunti yake yenye wafuasi zaidi ya milioni 2.7 siku ya Jumatano, Desemba 3, akisema hakuna dalili za kurejeshwa. Aidha, ameeleza kuwa amepigwa […]

Read More
 Bien Amaliza Ugomvi wake na Otile Brown

Bien Amaliza Ugomvi wake na Otile Brown

Msanii Bien Baraza kutoka Kenya, ametangaza kuwa tofauti zake na mwimbaji Otile Brown sasa zimefikia mwisho, na wawili hao wako katika uhusiano mzuri. Akizungumza kwenye mahhojiano kupitia Mic Cheque Podcast, Bien amesema kuwa wamezungumza na kusameheana baada ya kipindi cha kutokuelewana kilichodumu kwa muda. Bien amefichua kuwa wakati wa mzozo wao, Otile aliuchukulia suala hilo […]

Read More
 Pipi Jojo Asema Hajawahi Pata Mapenzi Kama Chief Godlove

Pipi Jojo Asema Hajawahi Pata Mapenzi Kama Chief Godlove

Msanii chipukizi kutoka Tanzania, Pipi Jojo, amegusa hisia za mashabiki baada ya kufichua kwamba hajawahi kupata upendo wa baba kama anaoupata sasa kutoka kwa Chief Godlove, ambaye amekuwa akionyesha wazi kujivunia kumlea kama mwanawe. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Pipi Jojo ameeleza kuwa katika maisha yake yote tangu kuzaliwa, hakuwahi kutegemea kama siku moja angepata […]

Read More
 VJ Patelo Amkemea Azeezah Hashim kwa Kujadili Maisha Yake Redioni

VJ Patelo Amkemea Azeezah Hashim kwa Kujadili Maisha Yake Redioni

Msanii wa Arbantone, VJ Patelo, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kumkosoa hadharani mtangazaji wa Hot 96, Azeezah Hashim, akimtuhumu kujadili maisha yake mara kwa mara kwenye kipindi chake cha redio. Kupitia ujumbe wake mkali mtandaoni, ameonyesha kutoridhishwa na kile anachodai kuwa mazoea ya Azeezah kumhusisha katika mijadala yake ya redioni. Katika maneno yake makali, amedai […]

Read More
 Ringtone Arudi Mtandaoni Baada ya Ukimya wa Muda Mrefu

Ringtone Arudi Mtandaoni Baada ya Ukimya wa Muda Mrefu

Msanii wa injili Ringtone Apoko amerudi rasmi mtandaoni baada ya kipindi cha ukimya ambacho kimehusishwa na shinikizo la kesi nzito ya ardhi iliyokuwa inamkabili. Ringtone, ambaye amekuwa miongoni mwa wasanii wenye utata mkubwa kwenye tasnia ya muziki wa injili, amesema kuwa muziki wa injili ulidorora na kupoteza mwelekeo tangu alipojiondoa kwenye mitandao ya kijamii. Kwa […]

Read More
 Bahati Akanusha Kutumia Sakata la Mwanamke Aliyedai ni Mamake kuwa Kiki

Bahati Akanusha Kutumia Sakata la Mwanamke Aliyedai ni Mamake kuwa Kiki

Msanii wa muziki nchini Keny, Bahati, amekanusha madai kwamba anatumia sakata la mwanamke aliyejitokeza akidai ni mama yake mzazi kama mbinu ya kujipatia umaarufu mitandaoni. Bahati amesema tukio hilo limemshangaza kwa kuwa halikuwa sehemu ya mipango yake ya kujipatia kiki. Amefafanua kwamba mwanamke huyo amekuwa akimtafuta kwa zaidi ya miaka mitano, na hata aliwahi kuwasiliana […]

Read More
 YouTube Yazindua Kipengele Kipya cha “Recap” Kama Spotify Wrapped

YouTube Yazindua Kipengele Kipya cha “Recap” Kama Spotify Wrapped

YouTube imeanza kufanana na majukwaa kama Spotify, YouTube Music na Apple Music baada ya kuzindua kipengele kipya cha YouTube Recap, ambacho kitaonyesha muhtasari wa shughuli zako zote kwenye YouTube kwa mwaka mzima. Kupitia YouTube Recap, watumiaji wataweza kuona: Channels walizotazama sana, YouTube Shorts zilizopendwa zaidi, Aina za content wanazovutiwa nazo, Historia fupi ya matumizi yao […]

Read More