Video ya Khaligraph na Toxic Lyrikali Yazidisha Uvumi wa Kolabo, 

Video ya Khaligraph na Toxic Lyrikali Yazidisha Uvumi wa Kolabo, 

Rapa kutoka Kenya, Khaligraph Jones, amewaacha mashabiki na maswali baada ya kuonekana akizungumza na msanii Toxic Lyrikali wakati wa mazoezi ya Sol Fest. Tukio hilo lilinaswa kwenye video na kusambaa haraka mitandaoni, likichochea uvumi kuwa huenda wawili hao wanapanga kufanya kazi pamoja. Kwenye klipu hiyo, wasanii hao wanaonekana wakisalimiana nyuma ya jukwaa, jambo lililowafanya mashabiki […]

Read More
 Azawi Asaini Mkataba Mpya na Swangz Avenue

Azawi Asaini Mkataba Mpya na Swangz Avenue

Msanii kutoka Uganda, Priscilla Zawedde, anayejulikana kwa jina la kisanii Azawi, ametia saini mkataba mpya na lebo kubwa ya muziki Swangz Avenue kwa mara ya pili. Akizungumza baada ya kusaini, Azawi amesisitiza kuwa ushirikiano wake na Swangz Avenue umekuwa nguzo muhimu katika kukuza kipaji chake. Msanii huyo anasema mkataba huo mpya ni motisha wa kuendeleza […]

Read More
 Mashabiki Kenya Wamkataa Mbosso Kisa Siasa

Mashabiki Kenya Wamkataa Mbosso Kisa Siasa

Mashabiki wa muziki nchini Kenya wameonyesha msimamo mkali dhidi ya nyimbo za msanii wa Tanzania, Mbosso, wakidai msimamo wake wa kisiasa hauendani na hisia zao. Tukio hili lilijitokeza wazi katika tuzo za Nganya jijini Nairobi, ambapo DJ aliyekuwa akicheza muziki alikumbana na upinzani baada ya kupiga wimbo Pawa na nyimbo nyingine za bongo flava. Badala […]

Read More
 UNEP Yamteua Fridah Amani kuwa Balozi wa Mazingira

UNEP Yamteua Fridah Amani kuwa Balozi wa Mazingira

Msanii wa hiphop Frida Amani ameandika historia baada ya kutangazwa rasmi kuwa balozi wa kimataifa unaolenga kulinda, kurejesha na kuimarisha mazingira. Katika salamu zake za kukubali uteuzi huo, Frida Amani ameweka wazi kuwa anauchukulia kama heshima kubwa na wajibu mzito. Amesisitiza kuwa mazingira ni msingi wa ustawi wa binadamu, na kuzorota kwa hali ya ikolojia […]

Read More
 Chief Godlove Akanusha Kutoka Kimapenzi na Pipi Jojo

Chief Godlove Akanusha Kutoka Kimapenzi na Pipi Jojo

Mwanamitandao maarufu Chief Godlove amejitokeza kukemea madai yanayoenezwa mtandaoni yakidai kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na msanii wake mchanga, Pipi Jojo. Katika video aliyoipakia Instagram, Chief Godlove ameonyesha kukerwa na taarifa hizo, akieleza kuwa zinamkosea heshima na msanii huyo ambaye ni mtoto wa umri wa miaka 16. Chief Godlove amesema kuwa ukaribu wake na msanii […]

Read More
 ChatGPT Kuanza Kuonyesha Matangazo kwa Watumiaji wa Bure

ChatGPT Kuanza Kuonyesha Matangazo kwa Watumiaji wa Bure

Kampuni ya OpenAI inajipanga kuanza kuweka matangazo kwa watumiaji wa bure wa ChatGPT, ikiwa ni sehemu ya mpango mpya wa kuongeza mapato. Taarifa zinaonyesha kuwa mfumo mpya wa apps za ChatGPT umeanza kuonyesha misimbo ya aina mbalimbali za matangazo, ikiwemo search ads, ad carousel na hata API maalum ya kuendesha matangazo hayo. Mpango huo unatarajiwa […]

Read More
 Posta Rangers Yafufua Makali kwa Kuilaza BIDCO United 1-0

Posta Rangers Yafufua Makali kwa Kuilaza BIDCO United 1-0

Posta Rangers imevunja msururu wa mechi nne bila ushindi, baada ya kuibwaga Bidco United kwa bao moja bila majibu kwenye mchuano wa Ligi Kuu ya Kenya uliochezewa uwanjani Moi Kasarani Annex, jijini Nairobi. Bao hilo la pekee lilipachikwa wavuni dakika ya 30 na Brian Otieno, na likatosha kuihakikishia Rangers alama zote tatu muhimu. Bidco United […]

Read More