Msanii Jux Anyakua Tena Tuzo ya Jayli Nchini Ivory Coast

Msanii Jux Anyakua Tena Tuzo ya Jayli Nchini Ivory Coast

Msanii nyota wa Bongofleva, Juma Jux, ameendelea kudhihirisha ukubwa na ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki baada ya kutwaa kwa mara ya pili tuzo ya Jayli Awards nchini Ivory Coast. Kupitia mitandao ya kijamii, Jux ameonesha kufurahishwa na kutuzwa kama Msanii Bora wa Afrika Mashariki wa Mwaka, akitoa shukrani kwa waandaaji wa tuzo hizo […]

Read More
 Oga Obinna Amtetea Larry Madowo Baada ya Mpambe wa Rais Samia Kupinga Ripoti ya CNN  

Oga Obinna Amtetea Larry Madowo Baada ya Mpambe wa Rais Samia Kupinga Ripoti ya CNN  

Mchekeshaji na mtangazaji wa Kenya, Oga Obinna, ameibuka kumtetea kwa nguvu mwandishi wa habari wa CNN, Larry Madowo, kufuatia kauli ya mpambe wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyepinga na kupuzilia mbali ripoti ya chombo hicho kuhusu machafuko ya uchaguzi nchini Tanzania. Akiwa hewani kupitia Obinna TV, Obinna ameonekana kukerwa na hatua ya mpambe huyo kuhoji […]

Read More
 Mrembo wa Kenya Asema Hajakaa Chini kwa Wiki 5 Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kuongeza Makalio BBL

Mrembo wa Kenya Asema Hajakaa Chini kwa Wiki 5 Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kuongeza Makalio BBL

Mwanamitindo na mshawishi wa mitandao ya kijamii nchini Kenya, Lydia Wanjiru, amefichua kuwa hajakaa chini kwa zaidi ya wiki tano kufuatia upasuaji wa kuongeza makalio (BBL) alioufanyiwa hivi karibuni. Kupitia maelezo yake kwenye Instastory, Lydia amesema kuwa madaktari walimshauri kuepuka kukaa chini ili kutoleta madhara kwenye eneo lililotibiwa, hatua ambayo ni muhimu katika kipindi cha […]

Read More
 Mwanamke Ajitokeza Akidai Ni Mama Halisi wa Msanii Bahati 

Mwanamke Ajitokeza Akidai Ni Mama Halisi wa Msanii Bahati 

Mwanamke mmoja ameibuka akidai kuwa ndiye mama mzazi wa staa wa muziki nchini Kenya, Bahati. Mwanamke huyo anasema kuwa hajawahi kufariki, kinyume na imani iliyokuwa imeenea kwa miaka mingi, na kwamba mazingira ya umaskini aliyokumbana nayo zamani ndiyo yaliyosababisha kumpoteza mtoto wake. Anasema kuwa wakati huo alikabiliwa na changamoto ambazo zilimfanya ashindwe kumlea Bahati, na […]

Read More
 Mashabiki Wapagawa Baada ya Toxic Lyrikali Kuonekana na Mrembo

Mashabiki Wapagawa Baada ya Toxic Lyrikali Kuonekana na Mrembo

Msanii anayetikisa anga la muziki kwa sasa nchini Kenya, Toxic Lyrikali, ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kushiriki kipande cha video kwenye Instagram Story akionekana akiwa kwenye mahaba mazito na mrembo asiyejulikana. Katika video hiyo, Toxic na mrembo huyo wameonekana wakifurahia ukaribu wao bila kujificha, jambo ambalo limezidisha tetesi za kimapenzi. Baadhi ya mashabiki wanasema […]

Read More
 Nameless Amwaga Sifa kwa Msanii Chipukizi kwa Kufanya Cover ya Nasinzia

Nameless Amwaga Sifa kwa Msanii Chipukizi kwa Kufanya Cover ya Nasinzia

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Kenya, Nameless, amemwagia sifa msanii chipukizi Lafayette baada ya kuimba kwa ustadi cover ya wimbo wake uitwao Sinzia. Hii ni baada ya Cover hiyo kupokelewa vyema mtandaoni, huku mashabiki wakisifu ubunifu na uimbaji wa msanii huyo mpya kwenye tasnia. Kupitia Instastory kwenye mtandao wa Instagram, Nameless ameonyesha furaha yake kuona […]

Read More
 Kenya Kuandaa Mashindano ya Kimataifa ya Taekwondo kwa Chipukizi

Kenya Kuandaa Mashindano ya Kimataifa ya Taekwondo kwa Chipukizi

Kenya inatarajia kuwa mwenyeji wa mashindano ya kimataifa ya Taekwondo kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 21, yatakayofanyika kuanzia Jumatano hii hadi Jumamosi. Mashindano haya yanajulikana kwa kaulimbiu yake ‘Thamani za Taekwondo kwa Hatua za Kudhibiti Mabadiliko ya Hali ya Hewa’, na yanatarajiwa kuvutia wachezaji kutoka mataifa zaidi ya 140, huku tayari mataifa 76 yamehakikisha […]

Read More
 Meta Yaanza Kutumia Chat za AI Kwenye Matangazo

Meta Yaanza Kutumia Chat za AI Kwenye Matangazo

Kampuni ya Meta imetangaza mabadiliko mapya yanayoanza kutumika Desemba mwaka huu, ambayo yataathiri watumiaji wa Instagram, Facebook na WhatsApp kote duniani isipokuwa katika nchi za Umoja wa Ulaya na Uingereza. Kwa mujibu wa Meta, data za mazungumzo unayofanya na Meta AI, ikiwemo pale unapoitumia kutafuta taarifa, kuomba muhtasari wa chat, kuuliza kuhusu bidhaa, au kutuma […]

Read More
 Charisma Afunguka Kuhusu Ulevi Uliomfikisha Kwenye Hatari ya Kujitoa Uhai

Charisma Afunguka Kuhusu Ulevi Uliomfikisha Kwenye Hatari ya Kujitoa Uhai

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Charisma, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu changamoto alizopitia kutokana na matumizi ya pombe kupindukia. Akipiga stori na Iko Nini Podcast, msanii huyo ameeleza kuwa hali hiyo ilimfikisha kwenye msongo wa mawazo mkubwa kiasi cha kufikiria kujiua kwa kujinyonga akitumia kamba. Katika tukio hilo, baba na ndugu yake waliingilia kati […]

Read More
 Wakuu Music Atoa Onyo kwa Marapa wa Kenya kwa Kukosa Ubunifu

Wakuu Music Atoa Onyo kwa Marapa wa Kenya kwa Kukosa Ubunifu

Tasnia ya muziki wa rap nchini Kenya imewaka moto baada ya Wakuu Music kutoa onyo kali kwa wasanii Toxic Lyrikali na Breeder LW, kufuatia kuibuka kwa diss tracks nne zilizowalenga wasanii wengine kama Trio Mio na Maandy. Akiongea kwa hisia, Wakuu Music alimkosoa Toxic Lyrikali, akibainisha tofauti kubwa iliyopo kati yao. Alisisitiza kuwa yeye ni msanii aliyewekeza kikamilifu kwenye […]

Read More
 Victoria Afichua Changamoto za Kuchumbiana na Kijana Mdogo

Victoria Afichua Changamoto za Kuchumbiana na Kijana Mdogo

Mwanamuziki Victoria Kimani amefichua kuwa aliwahi kujaribu kuwa kwenye mahusiano na mwanaume aliye mdogo kwake kiumri, lakini uhusiano huo haukufanikiwa kutokana na tofauti za mitazamo na mienendo ya maisha. Akiwa kwenye mahojiano na mtangazaji Betty Kyallo, Victoria ameeleza kuwa uzoefu huo ulimsaidia kujitambua zaidi na kuelewa kile anachokipa kipaumbele kwenye uhusiano. Katika mazungumzo hayo, Betty […]

Read More
 Harmonize Aahirisha Uzinduzi wa Album yake Mpya

Harmonize Aahirisha Uzinduzi wa Album yake Mpya

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, amelazimika kusitisha kwa muda uzinduzi wa albamu yake mpya “31” kutokana na hofu ya kususiwa na mashabiki kufuatia msimamo wake wa kisiasa katika uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Akizungumza kuhusu uamuzi huo, Harmonize amesema kuwa hatarajii albamu hiyo kutolewa mwaka huu kama ilivyopangwa awali, akibainisha kuwa mazingira ya […]

Read More