Azawi Asema Wasanii Wakongwe Uganda Wanatumia Uchawi

Azawi Asema Wasanii Wakongwe Uganda Wanatumia Uchawi

Msanii nyota kutoka Swangz Avenue, Azawi, amezua gumzo kubwa katika tasnia ya muziki baada ya kudai kuwa baadhi ya wanamuziki wakongwe nchini Uganda wanatumia uchawi na mbinu chafu ili kuwapoteza wasanii wapya wanaochipukia kwenye muziki. Kupitia mahojiano aliyofanya hivi karibuni, Azawi amesema kuwa muziki nchini humo umekuwa na mazingira magumu kwa vipaji vipya, akidai kuwa […]

Read More
 Huddah Monroe Awakashif Wanaume wa Kenya kwa Kukosa Heshima Kwa Wanawake

Huddah Monroe Awakashif Wanaume wa Kenya kwa Kukosa Heshima Kwa Wanawake

Mjasiriamali na socialite maarufu, Huddah Monroe, ameibua mjadala mtandaoni baada ya kutoa matamshi makali akiwakosoa baadhi ya wanaume wa Kenya kwa kile alichokiita tabia ya kuwadhalilisha na kutowaheshimu wanawake. Kupitia ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Huddah amesema hataki tena kuzungumza au kujihusisha na wanaume wa “millennials”, akiwataja kama kizazi kisichoheshimu wanawake na kinachopenda kutumia maneno ya dharau. […]

Read More
 Snapchat Yarejesha Mwonekano wa 2D kwa Bitmoji Baada ya Malalamiko ya Watumiaji

Snapchat Yarejesha Mwonekano wa 2D kwa Bitmoji Baada ya Malalamiko ya Watumiaji

Snapchat imefanya mabadiliko makubwa kwa kurudisha mwonekano wa 2D kwenye Bitmoji zake, hatua inayojibu malalamiko ya watumiaji waliokuwa hawaridhiki na mwonekano mpya wa 3D. Zaidi ya watu 100,000 walitia saini mtandaoni wakitaka mwonekano wa zamani urudi, wakibainisha kuwa Bitmoji za 3D hazikuwakidhi matarajio yao ya ubunifu na urembo. Sasa, watumiaji wa Snapchat wanaweza kuchagua kurudisha […]

Read More
 DC wa Instagram Mwijaku Afunguka Kuhusu Hali Ya Kumuenzi MC Polepole

DC wa Instagram Mwijaku Afunguka Kuhusu Hali Ya Kumuenzi MC Polepole

Mtangazaji maarufu nchini Tanzania, Mwijaku, ametuma ujumbe mzito kwa vijana na watumiaji wa mitandao ya kijamii akiwataka kumuenzi marehemu MC Polepole kwa kumuombea dua badala ya kupakia picha zake mtandaoni. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Mwijaku amesema kuwa imekuwa kawaida kwa watu wengi kushindana kupost picha za marehemu kwenye mitandao, huku wakisahau kuwa namna bora […]

Read More
 Mwenyekiti wa Washereheshaji Dodoma Akanusha Uvumi Kuhusu Kifo cha MC Pilipili

Mwenyekiti wa Washereheshaji Dodoma Akanusha Uvumi Kuhusu Kifo cha MC Pilipili

Mwenyekiti wa Washereheshaji Mkoa wa Dodoma Meshack Sudai amekanusha vikali taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa watu waliodai kuwa ndugu wa marehemu MC Pilipili, wakisema kuwa mwili wa mchekeshaji huyo umepatikana na majeraha mabaya. Akizungumza jana, Sudai amesema taarifa hizo si za kweli na kwamba familia ya marehemu haijatoa tamko lolote rasmi hadi […]

Read More
 Akothee Alaani Vikali Dhuluma Dhidi ya Binti ya Mike Sonko

Akothee Alaani Vikali Dhuluma Dhidi ya Binti ya Mike Sonko

Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu nchini Kenya, Akothee, ameungana na sauti za kulaani vitendo vya ukatili wa majumbani baada ya taarifa kuenea kwamba binti wa aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, alipigwa na mume wake. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Akothee amesisitiza kuwa hakuna sababu yoyote inayoweza kumhalalishia mwanamume kutumia nguvu dhidi ya mwanamke. Ameeleza kuwa […]

Read More
 20 Percent Ataka Wasanii Wanaoimba Matusi Kufungwa Jela

20 Percent Ataka Wasanii Wanaoimba Matusi Kufungwa Jela

Msanii mkongwe kwenye gemu ya Bongo Fleva, 20 Percent, ametoa kauli nzito kuhusu wimbi la wasanii kutoa nyimbo zenye matusi, akisema suluhisho si kufungia kazi hizo bali kuwaadhibu moja kwa moja wasanii wanaohusika. Akizungumza kupitia kipindi cha Funky Friday, 20 Percent amesema kuwa hatua ya mamlaka husika kufungia au kuzuia nyimbo haitoshi kudhibiti maudhui machafu, […]

Read More
 Guardian Angel Atoa Onyo Kali Kwa Wanaoeneza Chuki Mitandaoni

Guardian Angel Atoa Onyo Kali Kwa Wanaoeneza Chuki Mitandaoni

Msanii wa muziki wa Injili, Guardian Angel, ametoa onyo kali kwa watumiaji wa mitandao wanaoeneza chuki na kuwakandamiza wengine kupitia maneno ya kashfa na matusi. Kupitia ujumbe wake mtandaoni, Guardian Angel amesema kuwa watu wengi wanaumizwa na maudhui ya chuki yanayoenezwa bila kujali hisia zao, akibainisha kuwa wengi wao hupitia mateso makubwa kimya kimya kutokana […]

Read More
 WhatsApp Yaiga Instagram Notes kwa Kipengele Kipya cha Notes

WhatsApp Yaiga Instagram Notes kwa Kipengele Kipya cha Notes

WhatsApp imeanzisha mfumo mpya unaowaruhusu watumiaji kuandika ujumbe mfupi ambao unaweza kujifuta baada ya muda maalumu unaochaguliwa na mtumiaji mwenyewe. Katika mfumo huu, mtumiaji anaweza kuweka muda wa ujumbe kudumu kwa saa moja, masaa manane, siku moja au hadi wiki moja kabla ya kutoweka kiotomatiki. Kipengele hiki kinafanana kwa kiasi kikubwa na huduma ya Instagram […]

Read More