Pipi Jojo Amshangaza Baba yake Kwa Mtindo wa Kipekee wa Nywele

Pipi Jojo Amshangaza Baba yake Kwa Mtindo wa Kipekee wa Nywele

Msanii chipukizi anayezidi kuibukia kwa kasi, Pipi Jojo, amezua gumzo mtandaoni baada ya kumsuprise baba yake Chief Godlove kwa mtindo mpya wa nywele za rasta uliounganishwa na pipi aina ya lollipop, ubunifu ambao umewastaajabisha wengi. Kwa mujibu wa video iliyosambaa mtandaoni, baba yake ameonekana kufurahishwa na ubunifu wa binti yake, na hata kumuuliza kwa utani […]

Read More
 Stevo Simple Boy Ashinda Tuzo ya ‘Most Fashionable Personality’ Nchini Kenya

Stevo Simple Boy Ashinda Tuzo ya ‘Most Fashionable Personality’ Nchini Kenya

Msanii Stevo Simple Boy amewashukuru mashabiki wake na wote waliomuunga mkono baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya ‘Most Fashionable Inspirational Personality’ nchini Kenya. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Stevo amesema kuwa hakutarajia kabisa kuibuka mshindi katika kipengele hicho, akieleza kuwa awali aliona kama ushindani ulikuwa mkubwa na hakujiona kama angechaguliwa. Hata hivyo, […]

Read More
 Gloria Ntazola Apuzilia Mbali Miito ya Kufanyiwa BBL

Gloria Ntazola Apuzilia Mbali Miito ya Kufanyiwa BBL

Mrembo maarufu mtandaoni nchini Kenya Gloria Ntazola, anayejulikana kama Kanjo Lady, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio (Brazilian Butt Lift) licha ya mashinikizo kutoka kwa baadhi ya wafuasi wake mitandaoni. Gloria, ambaye hivi karibuni amefichua kuwa alifanyiwa upasuaji wa kuongeza maziwa na kuminya kiuno nchini Nigeria, amesema kuwa watu wengi […]

Read More
 Zuchu Amkingia Kifua Diamond Kufuatia Madai ya Kuvuliwa Ubalozi wa Pepsi

Zuchu Amkingia Kifua Diamond Kufuatia Madai ya Kuvuliwa Ubalozi wa Pepsi

Mwanamuziki wa Bongofleva Zuchu ameibuka na kukanusha vikali madai yaliyoenea mtandaoni kwamba mume wake Diamond Platnumz amevuliwa wadhifa wake wa ubalozi wa Pepsi kutokana na kuhusishwa na siasa za CCM. Katika ufafanuzi wake, Zuchu ameeleza kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote, akisema zimetengenezwa na watu wanaotaka kupotosha umma lakini pia kutafuta kiki mtandaoni. Hitmaker huyo […]

Read More
 Eric Omondi Ashinda Tuzo ya People’s Champion of the Year kwenye NGO Awards 2025

Eric Omondi Ashinda Tuzo ya People’s Champion of the Year kwenye NGO Awards 2025

Mchekeshaji na mwanaharakati kutoka nchini Kenya, Eric Omondi, ameendelea kuthibitisha nafasi yake kama sauti ya wananchi baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya People’s Champion of the Year katika hafla ya NGO Awards 2025. Tuzo hiyo, ambayo hutolewa kwa mtu anayejitolea kupigania haki, ustawi na maslahi ya jamii, imeonekana kuwa uthibitisho wa juhudi za Eric […]

Read More
 Akothee Aachia Rasmi EP Yake Mpya

Akothee Aachia Rasmi EP Yake Mpya

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee, ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina “Tatu Bora”, kazi ambayo imeimbwa kwa lugha ya Dholuo. Tatu Bora EP ina jumla ya ngoma tatu kali, ambazo zote amezifanya bila kolabo na msanii yeyote, ikiwa ni hatua inayoonyesha ubunifu na ubora wake binafsi. Nyimbo zilizopo ndani ya EP hiyo […]

Read More
 Otile Brown Aachia Tracklist ya EP yake Mpya

Otile Brown Aachia Tracklist ya EP yake Mpya

Msanii mahiri wa RnB kutoka Kenya, Otile Brown, ametangaza rasmi orodha ya nyimbo za EP yake mpya inayokwenda kwa jina “The Real King of the East”. EP hii ina jumla ya ngoma tano kali na imebeba kolabo tatu za uzito zinazomshirikisha Jovial, The Ben, na Okello Max. Katika mradi huo, Otile amemshirikisha The Ben katika […]

Read More
 MC Pilipili Afariki Dunia

MC Pilipili Afariki Dunia

Mshereheshaji na mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, anayefahamika zaidi kama MC Pilipili, amefariki dunia leo Novemba 16, 2025. Kwa mujibu wa taarifa tulizozipokea muda huu, MC Pilipili alikuwa safarini kuelekea jijini Dodoma, ambako alitarajiwa kufanya kazi ya ushereheshaji jioni ya leo. Hata hivyo, akiwa njiani, alifariki dunia ghafla kabla ya kufikishwa hospitalini. Taarifa hizi […]

Read More
 Chief Godlove Atangaza Kutafuta Mke

Chief Godlove Atangaza Kutafuta Mke

Mwanamitandao maarufu kutoka nchini Tanzania, Chief Godlove, ametangaza harakati zake za kutafuta mke baada ya kumtambulisha binti yake wa pili kutoka Kenya. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Chief Godlove amesema wazi kuwa anahitaji mwanamke mrembo kuliko mabinti zake, akitoa sababu kuwa uzuri huo unapaswa kuendana na uwezo wa kumhudumia na kuwatunza watoto wake. […]

Read More