Msanii Mkongwe Bebe Cool Aingia Kwenye Bifu na Msanii Mtukutu Alien Skin

Msanii Mkongwe Bebe Cool Aingia Kwenye Bifu na Msanii Mtukutu Alien Skin

Msanii mkongwe wa muziki nchini Uganda, Bebe Cool, anaripotiwa kuingia kwenye bifu kali na msanii mtukutu Alien Skin, hatua inayotamatisha urafiki wao wa karibu uliodumu kwa zaidi ya miaka miwili. Duru za kuaminika zinasema kuwa uhusiano kati ya wawili hao umedorora, huku wakidaiwa kutokuelewana kabisa. Chanzo cha ugomvi huo bado hakijathibitishwa rasmi, ingawa mwanamama Full Figure […]

Read More
 Msanii Mad Ice Aahirisha Ziara Yake ya Muziki Nchini Tanzania Kufuatia Machafuko

Msanii Mad Ice Aahirisha Ziara Yake ya Muziki Nchini Tanzania Kufuatia Machafuko

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Uganda, Mad Ice, ametangaza kuahirisha rasmi ziara yake ya muziki iliyokuwa imepangwa kufanyika nchini humo, akitaja hali ya machafuko iliyoshuhudiwa hivi karibuni kama sababu kuu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo amesema ameona ni vyema kusitisha matamasha hayo hadi hali itakapotulia, akisisitiza kuwa usalama wa mashabiki na timu yake […]

Read More
 Msanii Sanaipei Tande Apinga Shinikizo la Kijamii Kuhusu Ndoa

Msanii Sanaipei Tande Apinga Shinikizo la Kijamii Kuhusu Ndoa

Mwanamuziki na muigizaji wa Kenya Sanaipei Tande ameibua mjadala mtandaoni baada ya kueleza kuwa kuolewa sio lazima katika maisha. Akizungumza kwenye mahojiano ya hivi karibuni, mwimbaji huyo wa wimbo “Amina” amesema kuwa ingawa anaheshimu taasisi ya ndoa, anaamini si kila mtu amekusudiwa kufunga ndoa. Amefafanua kuwa ndoa ni kitu kizuri, lakini si kwa kila mtu, […]

Read More
 Bahati Ajigamba Kuwa Msanii Pekee Kenya Mwenye Nyimbo Tatu Zinazotrend YouTube

Bahati Ajigamba Kuwa Msanii Pekee Kenya Mwenye Nyimbo Tatu Zinazotrend YouTube

Msanii asiyeishiwa na matukio kila leo, Bahati, ameibuka tena mtandaoni akijigamba kuwa ndiye msanii pekee nchini Kenya mwenye nyimbo tatu zinazotamba kwenye orodha ya video kumi bora zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Bahati ameeleza kuwa anajivunia mafanikio hayo makubwa katika muziki wake, akisema ni heshima kubwa kwake kuona […]

Read More
 Pastor Kanyari Angua Kilio Akiomboleza Kifo cha Betty Bayo

Pastor Kanyari Angua Kilio Akiomboleza Kifo cha Betty Bayo

Mchungaji maarufu wa Jijini Nairobi, Victor Kanyari, amezidi kugubikwa na majonzi kufuatia kifo cha aliyekuwa mke wake na mwanamuziki wa injili, Betty Bayo. Katika video zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, Kanyari ameonekana akishindwa kujizuia kutokana na huzuni kubwa iliyompata baada ya kusikia taarifa za msiba huo huku wasanii na marafiki wa marehemu wakijumuika naye kumpa […]

Read More
 Asaia Lasoi Ashinda Mbio za Boston Marathon

Asaia Lasoi Ashinda Mbio za Boston Marathon

Mwanariadha Isaia Lasoi kutoka Kenya alishinda katika mbio za nusu marathoni za Boston mwaka huu zilizoandaliwa nchini Marekani. Lasoi, ambaye anajivunia muda bora wa dakika 58 na sekunde 10, alishinda mbio hizo kwa saa 1 na sekunde 59, akimaliza mbele ya Santiago Catrofe wa Uruguay, ambaye alitumia muda wa saa 1 na dakika 1 na […]

Read More
 Prince Indah Achia Rasmi Albamu Mpya “Timeless Anthems”

Prince Indah Achia Rasmi Albamu Mpya “Timeless Anthems”

Mwanamuziki wa Ohangla kutoka Kenya, Prince Inda ameachia rasmi albamu yake mpya yenye nyimbo 16, iliyopewa jina “Timeless Anthems.” Albamu hiyo, ambayo ni ya sita kwa msanii huyo, inaonyesha ukuaji na ubunifu wake katika kuchanganya miziki ya kitamaduni ya jamii ya Luo na sauti za kisasa. Indah amesema lengo lake ni kuhakikisha muziki wa Ohangla […]

Read More
 Msanii wa Injili Betty Bayo Aaga Dunia

Msanii wa Injili Betty Bayo Aaga Dunia

Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Betty Bayo, ameaga dunia akiwa anapokea matibabu katika Hospitali ya Kenyatta, Nairobi. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na watu wa karibu naye, Betty Bayo alikuwa akipokea matibabu kwa muda kabla ya hali yake kuzorota na kufariki dunia akiwa hospitalini. Betty Bayo alijulikana kwa sauti yake yenye mvuto na […]

Read More