Mke wa VJ Patelo Athibitisha kuwa Mjamzito

Mke wa VJ Patelo Athibitisha kuwa Mjamzito

Mke wa msanii wa Arbantone VJ Patelo, anayejulikana kwa jina Dee, amethibitisha kuwa ni mjamzito kufuatia maswali ya mashabiki waliotaka kujua sababu ya kutokuonekana hadharani katika siku za hivi karibuni. Kupitia ujumbe alioutoa kwenye mitandao ya kijamii, Dee amewaomba radhi mashabiki wake, hasa wale wa Lodwar, kwa kutojumuika nao katika matukio ya hivi karibuni na […]

Read More
 Lydia Wanjiru Akanusha Tetesi za Kurudiana na Ex Wake Frank Dosoo

Lydia Wanjiru Akanusha Tetesi za Kurudiana na Ex Wake Frank Dosoo

Mrembo maarufu mtandaoni nchini Kenya, Lydia Wanjiru, amekanusha uvumi unaosambaa mtandaoni ukidai kuwa amerudiana na mpenzi wake wa zamani, Frank Dosoo. Kupitia InstaStory yake, Lydia ameonekana kukanusha madai hayo kwa maneno makali, akisema kuwa anafurahia gossip kama wengine, lakini inapozidi mipaka inakuwa kero hasa pale ambapo watu wanatunga hadithi bila ushahidi. Amesisitiza kuwa katika ulimwengu […]

Read More
 Akothee Akimbizwa Hospitalini Baada ya Maumivu Makali ya Tumbo

Akothee Akimbizwa Hospitalini Baada ya Maumivu Makali ya Tumbo

Mwanamuziki kutoka Kenya, Akothee, amefichua tukio la kutisha alilopitia alfajiri ya jana baada ya kuanguka chooni kutokana na maumivu makali ya tumbo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Akothee amesema kuwa hali hiyo ilianza usiku wa manane baada ya kushuhudia video ya kutisha ya msichana aliyekuwa nyumbani kwake. Amesema tukio hilo lilimshtua kiasi cha kumsababishia maumivu […]

Read More
 Bien Aibuka Mshindi wa Music Influencer of the Year Katika Pulse Awards 2025

Bien Aibuka Mshindi wa Music Influencer of the Year Katika Pulse Awards 2025

Msanii nyota kutoka Kenya Bien-Aimé Baraza ameibuka mshindi wa kipengele cha Music Influencer of the Year katika tuzo za Pulse Influencer Awards 2025 zilizofanyika jijini Nairobi. Bien alipata tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya muziki na namna alivyotumia mitandao ya kijamii kueneza kazi zake, kushirikiana na mashabiki, na kukuza taswira ya […]

Read More
 Baba Talisha Aomba Msaada Kupata Simu zake Zilizopotea

Baba Talisha Aomba Msaada Kupata Simu zake Zilizopotea

Mtengenezaji maudhui mtandaoni nchini Kenya, Baba Talisha, ameomba msaada wa umma kurejesha iPhone 15 Pro Max na Samsung Galaxy S24 Ultra alizopoteza hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa yake, vifaa hivyo vimebeba kazi muhimu za kibiashara, zikiwemo takribani reels 173 zilizohaririwa na 217 ambazo bado hazijahaririwa kwa brands mbalimbali. Baba Talisha ametangaza zawadi ya Shilingi […]

Read More
 Gor Mahia Yaendelea Kutamba Ligi Kuu Kenya

Gor Mahia Yaendelea Kutamba Ligi Kuu Kenya

Gor Mahia iliendelea kushamiri katika Ligi Kuu ya Soka humu nchini walipomenyana na mabingwa watetezi Kenya Police katika mechi yao ya 7 Jumapili alasiri. Kogalo ambao mara ya mwisho walipomenyana na Polisi walitoka sare bao moja kwa moja tarehe 22 mwezi Juni mwaka huu walionesha ubabe wao huku wakiongoza kwa mabao mawili kwa nunge  kabla ya mapumziko. Green Army ilifunga mapema dakika ya 2 kupitia kwa Felix […]

Read More
 Eddie Butita Avunja Kiapo Cha Kutovalia Pyjama Inayofanana na Mpenzi Wake

Eddie Butita Avunja Kiapo Cha Kutovalia Pyjama Inayofanana na Mpenzi Wake

Mchekeshaji kutoka Kenya Eddie Butita amejipata njia panda baada ya kushiriki picha pamoja na mpenzi wake Cele Terer wakiwa wamevalia Pyjamas mfanano ikiwa ni miaka miwili imepita tangu akashifu vikali kitendo hicho kama ushamba uliopitiza. Kupitia Instagram, Butita alichapisha misururu ya picha maridadi kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mpenzi wake Cele, wakiwa wamepiga […]

Read More
 Xenia Manasseh Aandikisha Historia Baada ya Kuteuliwa Kwenye Tuzo za Grammy 2026

Xenia Manasseh Aandikisha Historia Baada ya Kuteuliwa Kwenye Tuzo za Grammy 2026

Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo kutoka Kenya, Xenia Manasseh, ameandikisha historia baada ya kupokea uteuzi wake wa kwanza kabisa wa Grammy Awards kwa mchango wake katika albamu ya “Escape Room” ya Teyana Taylor, ambayo imeteuliwa katika kipengele cha Best R&B Album. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Xenia hakuweza kuficha furaha yake, akieleza kuwa ni uteuzi […]

Read More
 Otile Brown Atangaza Ujio wa EP Mpya

Otile Brown Atangaza Ujio wa EP Mpya

Msanii nyota wa R&B kutoka Kenya, Otile Brown, ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo amesema itathibitisha hadhi yake kama mfalme halisi wa muziki Afrika Mashariki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Otile ameshiriki picha ya cover ya EP hiyo aliyoipa jina “The Real King of East Africa”, akieleza kuwa amekuwa akiitayarisha kwa muda mrefu kwa […]

Read More
 Ciggie Johnson Asema Vera Sidika Sio Type Yake

Ciggie Johnson Asema Vera Sidika Sio Type Yake

Mdau wa masuala ya burudani na matukio, Ciggie Johnson, ameweka wazi kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na Vera Sidika licha ya uvumi ulioenea mitandaoni kuwa anatoka na Socialite huyo wa Kenya. Kupitia mahojiano maalum na runinga ya NTV, Ciggie amesema kuwa uhusiano wake na Vera umejikita zaidi katika shughuli za kibiashara na sio mapenzi kama […]

Read More
 Michuano ya Kufuzu BAL ya Wanawake Kuanza Nyayo Kesho

Michuano ya Kufuzu BAL ya Wanawake Kuanza Nyayo Kesho

Michuano ya kufuzu kwa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Wanawake barani Afrika itaanza kesho katika uwanja wa Nyayo na kuzikutanisha timu nane kutoka kote kanda ya Afrika Mashariki. Wenyeji Kenya itawakilishwa na mabingwa wa kitaifa Kenya Ports Authority KPA na Chuo Kikuu cha Zetech. Watakabiliana na ushindani mkali kutoka kwa Gladiators ya Uganda, timu […]

Read More