Khadija Kopa Akiri Kumkingia Kifua Diamond Anapogombana na Zuchu
Malkia wa muziki wa Taarab, Khadija Kopa, amefunguka kuhusu uhusiano wake na mkwe wake Diamond Platnumz, akisema huwa anamkingia kifua kila mara anapokuwa na mgogoro na binti yake Zuchu. Akipiga stori na Juma Lokole, Kopa amesema huwa upande wa Diamond kwa sababu anamchukulia kama mwanae wa sasa na hataki kuvuruga ndoa yao. Amesema kuwa alianza […]
Read More