Spice Diana Ajitolea Kulipa deni la Promota Aliyetupwa Jela

Spice Diana Ajitolea Kulipa deni la Promota Aliyetupwa Jela

Mwanamuziki kutoka Uganda, Spice Diana, ameonyesha moyo wa huruma baada ya kuahidi kumsaidia promota wa matamasha Biggie Events, aliyetupwa gerezani Luzira Prison kwa kushindwa kulipa deni la takriban Ugx milioni 70, sawa na takriban KSh milioni 2.5. Kupitia mitandao ya kijamii, Spice Diana ameeleza kuguswa na hali ya promota huyo ambaye amekuwa akihangaika kurejesha mkopo […]

Read More
 Harmonize Atinga Studio Kuandaa Wimbo Maalum wa Kupoza Mioyo ya Watanzania

Harmonize Atinga Studio Kuandaa Wimbo Maalum wa Kupoza Mioyo ya Watanzania

Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameingia studio kuandaa wimbo maalum unaolenga kuwatuliza na kuwapooza mioyo Watanzania kufuatia machafuko yaliyoshuhudiwa hivi karibuni nchini humo. Kupitia Instastory yake, Harmonize ameposti video akiwa studioni akifanya mazoezi ya sauti kwa wimbo mpya ambao inadaiwa unaweza kuitwa “Don’t Be So Emotional”, kutokana na maneno aliyosikika akiimba katika […]

Read More
 Bahati Azima Tetesi za Baby Mama wake Kuvishwa Pete ya Uchumba

Bahati Azima Tetesi za Baby Mama wake Kuvishwa Pete ya Uchumba

Msanii wa muziki asiyeishiwa na matukio kila kuchao, Bahati, amezima tetesi zilizosambaa mtandaoni kuhusu baby mama wake, Yvette Obura, kuvishwa pete ya uchumba kupitia wimbo wake mpya uitwo First Love. Katika video ya wimbo huo, Yvette Obura na mwanaume anayedaiwa kuwa mchumba wake wameonekana kama video queen na video king, wakicheza nafasi za wapenzi wawili […]

Read More
 Bobi Wine Avurugana na Polisi wa Kutuliza Ghasia Mbarara Uganda

Bobi Wine Avurugana na Polisi wa Kutuliza Ghasia Mbarara Uganda

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, ameingia kwenye mzozo mkali na polisi wa kutuliza ghasia katika mji wa Mbarara, baada ya timu yake ya kampeni kushambuliwa na watu wasiojulikana, katika kile kinachoonekana kuwa kuongezeka kwa vurugu wakati wa ziara yake ya kisiasa magharibi mwa nchi. Kisa hicho, kilichorekodiwa kwenye video ambayo sasa imesambaa mtandaoni, […]

Read More
 Eddy Kenzo Awakilisha Afrika Mashariki Kwenye Tuzo za Grammy 2026

Eddy Kenzo Awakilisha Afrika Mashariki Kwenye Tuzo za Grammy 2026

Nyota wa muziki kutoka Uganda, Eddy Kenzo, ameweka historia kwa kuwa mwakilishi pekee wa Afrika Mashariki kwenye tuzo za Grammy mwaka 2026. Kenzo amechaguliwa kuwania kipengele cha Best African Music Performance kupitia wimbo wake “Hope & Love” aliomshirikisha mwanamuziki na mtayarishaji maarufu wa vyombo vya muziki, Mehran Martin. Wimbo huo unamenyana na nyimbo kubwa kutoka […]

Read More
 Oga Obinna Atimiza Ahadi ya Kukutana na Binti Aliyemlilia Mtandaoni

Oga Obinna Atimiza Ahadi ya Kukutana na Binti Aliyemlilia Mtandaoni

Mtangazaji na mchekeshaji wa Kenya, Oga Obinna, hatimaye ameitikia wito wa mapenzi baada ya kutimiza ahadi yake ya kukutana na binti aliyemlia akimuomba penzi hadharani kupitia video iliyosambaa mitandaoni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Obinna ameshiriki video ikimuonyesha akiwa kwenye chakula cha mchana na binti huyo, tukio ambalo limevutia hisia mseto kutoka kwa mashabiki wake. […]

Read More
 Instagram Yazindua Sehemu Mpya ya Kudhibiti Follow Requests

Instagram Yazindua Sehemu Mpya ya Kudhibiti Follow Requests

Mtandao maarufu wa kijamii Instagram umezindua kipengele kipya kinachowezesha watumiaji kudhibiti Follow Requests kutoka kwa akaunti ambazo tayari wanafuata. Kipengele hiki kinakusudia kurahisisha njia ya kudhibiti nani anayeweza kujiunga na mtiririko wa watumiaji, na kutoa udhibiti zaidi juu ya faragha ya akaunti. Kwa kutumia sehemu hii mpya, mtumiaji wa Private Accounts anaweza kukubali Requests kutoka […]

Read More
 CAF Yazindua Orodha ya Wanaowania Tuzo za Mwaka Huu

CAF Yazindua Orodha ya Wanaowania Tuzo za Mwaka Huu

Shirikisho la Soka barani Afrika CAF limethibitisha kuwa Tuzo za mwaka huu za CAF  zitaandaliwa mjini Rabat, Morocco. Sherehe hizo za kila mwaka huwatuza wachezaji, makocha na timu mashuhuri ambazo zimeandikisha matokeo mazuri katika soka la Afrika katika msimu uliopita. Tuzo hizo ambazo huchukuliwa kuwa moja ya hafla za kifahari zaidi kwenye kalenda ya soka barani […]

Read More
 Stevo Simple Boy Anawishwa Mikono na Pombe ya KSh 100,000

Stevo Simple Boy Anawishwa Mikono na Pombe ya KSh 100,000

Msanii wa muziki wa Kenya, Stevo Simple Boy, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti video ikimuonesha akioshwa mikono na bilionea Chief Godlove kwa kutumia pombe ghali zaidi aina ya Clase Azul kwenye moja ya nightclub Jijini Nairobi. Katika video hiyo iliyosambaa kwa kasi mtandaoni, Stevo anaonekana akifurahia tukio hilo huku akionekana mwenye bashasha. Kupitia ukurasa […]

Read More
 Diamond Platnumz: Kuwa Msanii Nchini Tanzania Ni Kazi Ngumu Sana

Diamond Platnumz: Kuwa Msanii Nchini Tanzania Ni Kazi Ngumu Sana

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake baada ya kukosolewa vikali mitandaoni kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutosimama na wananchi katika kipindi ambacho taifa linakumbwa na machungu ya kisiasa na kijamii. Kupitia Instastory yake, Diamond ameonekana kujibu wakosoaji wake kwa njia ya mafumbo, akisema kuwa msanii nchini Tanzania ni kazi ngumu sana […]

Read More
 Akothee Awahimiza Mashabiki Kuheshimu Faragha Yake

Akothee Awahimiza Mashabiki Kuheshimu Faragha Yake

Mwanamuziki Akothee amewataka mashabiki wake wajifunze kuheshimu mipaka kati ya maisha ya umaarufu na binafsi baada ya kukiri usumbufu ambao upokea kutoka kwa wafuasi wake. Kupitia ujumbe wake wa mtandaoni, Akothee amesema kwamba kuwa mtu maarufu haimaanishi kila wakati yuko tayari kupiga picha au kutabasamu mbele ya umma. Mwanamama huyo wa watoto sita, amesema kuwa […]

Read More