Octopizzo Atangaza Nia ya Kugombea Ubunge wa Kibra 2027
Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Kenya, Octopizzo, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea kiti cha ubunge wa eneo la Kibra katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Octopizzo, ambaye alizaliwa na kukulia Kibra, amesema anataka kutumia nafasi hiyo kuimarisha maendeleo ya jamii alikotoka, hasa katika sekta za elimu, ajira kwa vijana, na makazi bora […]
Read More